Kumbe saa 5 anatambulishwa Kevin Twissa ila Barbara jifunze basi dah

Kumbe saa 5 anatambulishwa Kevin Twissa ila Barbara jifunze basi dah

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Taharuki iliyotokea jana Miss Gonzalez nafikiri umeiona hata wewe na Magori ilibidi muingilie kati kutoa maneno ya faraja huko twitter na instagram na bado leo pia na wewe umerusha vijembe vya kiaina

Yote haya ni kutokana na jinsi team inavyopwaya nafasi muhimu za namba 9 na namba 6 mlizokuwa na karibu miezi 3 kuzihangaikia MKAZIPUUZA, imani kwenu imepungua sana mmekuwa kama yule kiongozi mkubwa serikalini tena shabiki wa simba anayeongeaga mambo ya uongo uongo kila siku ambaye hata akikuambia kesho jua litawaka unajiuliza mara mbilimbii kama ni kweli

Shukuruni sana huyo manzoki inaonekana ka calculate kuja kutengeneza ufalme wake simba na siyo kuuchukua wa mayele na pia yanga wameonyesha kwamba wakitaka kitu kizuri ubahili kwao ni msamiati ni vile tu jamaa kawakatalia

Ndugu zangu YANGA LEO SAA TANO WANAMTAMBULISHA KEVIN TWISSA NA JACKSON GROUP YAKE kusimamia digital marketing and branding, smart move sana.

========

Who is Twissa?? Umaarufu wake umechangiwa na kazi ipi au yupo chombo gani cha habari Tanzania.
he humfahamu??? halafu nyie mtu akibishana na nyie utasikia we dogo we wa juzi tu..umeanza kushabikia mpira lini? umekuja mjini lini?

Twissa ni marketing guru kibongobongo ,hiyo jackson group yake ilimnyanyua sana mwakinyo hapa katikati
 
Ule uzi ungeufuta tu uliandika kimhemko na matangopori yako kutoka kwa yule pundit wa uganda
Mpuuzi wewe, ingekuwa mihemko magori na Gonzalez wangepanick? umeona vitu walivypost twitter na instagram?

Yaani Barbara anaringia picha ya simba na mtoto wake aliyopost manzoki?Barabra wa ku comment picha ya Hersi na manzoki na ku refer picha yake na etoo kwamba ingekuwa hivyo hata etoo ingekuwa tumemsajili?

Kama hawakupaniki wange relax, mood ya wanasimba ilibadilika kabisa jana HIYO NI DALILI KWAMBA VIONGOZI KWA SASA WANAONEKANA NI WAONGOONGO TU siyo kama miaka ya kurudi nyuma wakisema kitu mnakaa mnawaamini
 
he humfahamu??? halafu nyie mtu akibishana na nyie utasikia we dogo we wa juzi tu..umeanza kushabikia mpira lini? umekuja mjini lini?
Twissa ni marketing guru kibongobongo ,hiyo jackson group yake ilimnyanyua sana mwakinyo hapa katikati
Yes simfahamu hata kidogo, na hata huhitaji kunishangaa, Unaweza muona ww ni maarufu lakn kwa upande wangu akawa hayupo kwenye chain ya kumfahamu.

Kuna watu nashirikiana nao kwenye Biashara na hata wewe huwajui ingawa kwa wengine ni maarufu.

Mf. Nafanya kazi sana na TAJIRI no 1 Tanzania, yaan tajiri halisi anaitwa YOGESH MANEK, wengi hawamjui na umaarufu anao MO DEWJI.

So ni kawaida hasa watu kama hao wanuka mikojo sio wote tutawafahamu, sasa kumsimamia Mwakinyo ni big Deal?

Yaani mtu kutomjua Twissa ni mshamba tena? Haya nimekaa nje miaka 8 nawezaje kuwajua hao watu?
 
Kweli mgeni mjini, Twissa aliipandisha Voda kileleni miaka flani ya nyuma
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Sasa mm hata hiyo Laini ya Voda sijawahi kuwa nayo, haya ntawezaje hata kumjua?

Jamani Watanzania sio wote mnaohisi ni maarufu basi tutawajua wote, kuna kazi fulani inakufanya hata usijuane na hao watu.
 
Taharuki iliyotokea jana Miss Gonzalez nafikiri umeiona hata wewe na Magori ilibidi muingilie kati kutoa maneno ya faraja huko twitter na instagram na bado leo pia na wewe umerusha vijembe vya kiaina

Yote haya ni kutokana na jinsi team inavyopwaya nafasi muhimu za namba 9 na namba 6 mlizokuwa na karibu miezi 3 kuzihangaikia MKAZIPUUZA, imani kwenu imepungua sana mmekuwa kama yule kiongozi mkubwa serikalini tena shabiki wa simba anayeongeaga mambo ya uongo uongo kila siku ambaye hata akikuambia kesho jua litawaka unajiuliza mara mbilimbii kama ni kweli

Shukuruni sana huyo manzoki inaonekana ka calculate kuja kutengeneza ufalme wake simba na siyo kuuchukua wa mayele na pia yanga wameonyesha kwamba wakitaka kitu kizuri ubahili kwao ni msamiati ni vile tu jamaa kawakatalia

Ndugu zangu YANGA LEO SAA TANO WANAMTAMBULISHA KEVIN TWISSA NA JACKSON GROUP YAKE kusimamia digital marketing and branding, smart move sana .
Ndy mwenye shule ya twisa ya uku mbeya au
 
Back
Top Bottom