Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Kwenye marketing mzee sio uwanjaniKama Yanga wamemchukua Kelvin Twisa simba tumeisha 😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye marketing mzee sio uwanjaniKama Yanga wamemchukua Kelvin Twisa simba tumeisha 😂😂😂
Sasa Club ikiwa na hela si inaeza kumleta ata christian ronaldo aje kutuharibia wana thimbaaKwenye marketing mzee sio uwanjani
Mwisho akaja na j milioneaHalafu madogo wa leo kweli hawamjui Kevin Twissa?? Enzi za tigo longa longa, vodacom kipind kile, fiesta alizipandisha
Una akili za kitoto mno.Halafu madogo wa leo kweli hawamjui Kevin Twissa?? Enzi za tigo longa longa, vodacom kipind kile, fiesta alizipandisha
Mpuuzi wewe, ingekuwa mihemko magori na Gonzalez wangepanick? umeona vitu walivypost twitter na instagram?
Yaani Barbara anaringia picha ya simba na mtoto wake aliyopost manzoki?Barabra wa ku comment picha ya Hersi na manzoki na ku refer picha yake na etoo kwamba ingekuwa hivyo hata etoo ingekuwa tumemsajili?
Kama hawakupaniki wange relax, mood ya wanasimba ilibadilika kabisa jana HIYO NI DALILI KWAMBA VIONGOZI KWA SASA WANAONEKANA NI WAONGOONGO TU siyo kama miaka ya kurudi nyuma wakisema kitu mnakaa mnawaamini
Kama Yanga wamemchukua Kelvin Twisa simba tumeisha [emoji23][emoji23][emoji23]
Unatokea kijiji gani hapa Tanzania na Dar ulikuja kwa basi au treni au lori la mizigo, kelvin twissa usimfahamu kweli na utakuta unajiita mtoto wa mjini
Halafu madogo wa leo kweli hawamjui Kevin Twissa?? Enzi za tigo longa longa, vodacom kipind kile, fiesta alizipandisha
Una njaa kali huku unapoteza muda wako kulilia upuuzi?Taharuki iliyotokea jana Miss Gonzalez nafikiri umeiona hata wewe na Magori ilibidi muingilie kati kutoa maneno ya faraja huko twitter na instagram na bado leo pia na wewe umerusha vijembe vya kiaina
Yote haya ni kutokana na jinsi team inavyopwaya nafasi muhimu za namba 9 na namba 6 mlizokuwa na karibu miezi 3 kuzihangaikia MKAZIPUUZA, imani kwenu imepungua sana mmekuwa kama yule kiongozi mkubwa serikalini tena shabiki wa simba anayeongeaga mambo ya uongo uongo kila siku ambaye hata akikuambia kesho jua litawaka unajiuliza mara mbilimbii kama ni kweli
Shukuruni sana huyo manzoki inaonekana ka calculate kuja kutengeneza ufalme wake simba na siyo kuuchukua wa mayele na pia yanga wameonyesha kwamba wakitaka kitu kizuri ubahili kwao ni msamiati ni vile tu jamaa kawakatalia
Ndugu zangu YANGA LEO SAA TANO WANAMTAMBULISHA KEVIN TWISSA NA JACKSON GROUP YAKE kusimamia digital marketing and branding, smart move sana .
Hahahaha Enzi za Joji poujiMwisho akaja na j milionea
Kipindi cha nyuma co za simu zilikua zinapiga promishen zinabamba ss hv naona mambo ni tofauti sijui imekuaje
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣thiiimbaaaSasa Club ikiwa na hela si inaeza kumleta ata christian ronaldo aje kutuharibia wana thimbaa
Mkuu naweza kukucheki kw 💤💤💤💤🦻🦻🦻Hahahaha Enzi za Joji pouji
Wewe ndiye mpuuzi namba moja. Unaokoteza umbeya huko kisha unauposti kimuhemko kisha wapuuzi wenzako wakakuunga mkono. Halafu eti unauita taharuki. Nadhani umejiona mpuuzi wa kupuuzwa kabisa na kila mwanasimba.Mpuuzi wewe, ingekuwa mihemko magori na Gonzalez wangepanick? umeona vitu walivypost twitter na instagram?
Yaani Barbara anaringia picha ya simba na mtoto wake aliyopost manzoki?Barabra wa ku comment picha ya Hersi na manzoki na ku refer picha yake na etoo kwamba ingekuwa hivyo hata etoo ingekuwa tumemsajili?
Kama hawakupaniki wange relax, mood ya wanasimba ilibadilika kabisa jana HIYO NI DALILI KWAMBA VIONGOZI KWA SASA WANAONEKANA NI WAONGOONGO TU siyo kama miaka ya kurudi nyuma wakisema kitu mnakaa mnawaamini
Nicheki tsapMkuu naweza kukucheki kw 💤💤💤💤🦻🦻🦻
Sasa kawaombe msamaha viongozi wa simba kwa shombo uliyowapakaza.Taharuki iliyotokea jana Miss Gonzalez nafikiri umeiona hata wewe na Magori ilibidi muingilie kati kutoa maneno ya faraja huko twitter na instagram na bado leo pia na wewe umerusha vijembe vya kiaina
Yote haya ni kutokana na jinsi team inavyopwaya nafasi muhimu za namba 9 na namba 6 mlizokuwa na karibu miezi 3 kuzihangaikia MKAZIPUUZA, imani kwenu imepungua sana mmekuwa kama yule kiongozi mkubwa serikalini tena shabiki wa simba anayeongeaga mambo ya uongo uongo kila siku ambaye hata akikuambia kesho jua litawaka unajiuliza mara mbilimbii kama ni kweli
Shukuruni sana huyo manzoki inaonekana ka calculate kuja kutengeneza ufalme wake simba na siyo kuuchukua wa mayele na pia yanga wameonyesha kwamba wakitaka kitu kizuri ubahili kwao ni msamiati ni vile tu jamaa kawakatalia
Ndugu zangu YANGA LEO SAA TANO WANAMTAMBULISHA KEVIN TWISSA NA JACKSON GROUP YAKE kusimamia digital marketing and branding, smart move sana .
MmhNicheki tsap
Kulikua na promoshn sana press conf kila kukicha twissa kideoni 😀Hahahaha Enzi za Joji pouji
Wanatakiwa wote wachapwe viboko kadhaa makalioni kwa dharau wanayofanyia wanasimba , tatizo la namba 6 na 9 siyo la jana wala leo, wamelifanyia majaribio utadhani simba sc ni guinea pig huku wakiweka malengo ya kufika nusu fainali..sasa tunaambiwa akpan kaonekana garasa, huku namba 9 kuna mzungu garasaMkuu njaakalihatari msingi wa matusi yako yote na kufungua thread lukuki hapa jf kuwadhihaki Barbra na viongozi wengine wa simba ilikuwa ni Manzoki kusajiliwa na Yanga
Sasa ikiwa jambo hilo halijatokea na wala halijakuwa la kweli kwanini usitumie busara ndogo tu kuwaomba radhi hao viongoxi kama ulivyoweza fungua nyuzi lukuki za kuwananga kwa udhaifu wao why sasa usifungue tena nyuzi za kuwaomba radhi Barbra na viongozi wengine pale klabuni