Kumbe saa 5 anatambulishwa Kevin Twissa ila Barbara jifunze basi dah

Kuna jamaa yeye anaishi hapahapa bongo hii, yaani kazakiwa hapa, kasoma hapa kuna watu maarufu tena hawa wasanii ambao wapo kwenye media aina zote kila siku ila nashangaa yeye hawajui, mfano unamuuliza harmonize au Alikiba au Mario au wale wadada maarufu hawajui halafu eti mtu ashangae Kelvin Twisa kutokujulikana?

Unamjua mtu kutokana na mahitajio yako. Ni sawa na mimi nianze kumshangaa mtu eti humjui kweli Kingai mbona alivuma sana kwenye kesi ya Mbowe? Utahisi kila mtu alikua anafuatilia kesi ya Mbowe.
 
Twissa ananuka mkojo? Upo serious kweli?
 
Twissa ananuka mkojo? Upo serious kweli?
Sasa angekuwa top si ningemfahamu mkuu?? Mbona Waziri mkuu namjua?? Mbona MD wa NMB namjua, MD wa CRDB namjua??

Shida yenu mnahisi umaarufu wa mtu basi unakuwa kwa kila mtu, hiyo hapana mazee. Nimezaliwa Dar, Mwananyamala, nimesoma hapo, Advance nimepiga Azania, Chuo nimesoma Mzumbe, then nikanyanyuka kwenda walikostaarabika, so nawezaje kumfahamu huyo mtu kirahisi hivyo wakati hayuko kwenye chain yangu???

Kumjua mtu inategemea umeegemea upande upi, na si kila maarufu kwako basi kwa mwenzako atamjua.

Siku moja nilikuwa KEMPTON PARK, mwenyeji wangu alikuwa hamjui DJ CLEO, nilishangaa as i know niko GAUTENG PROVINCE ambapo huyo msanii amezaliwa. Niliweka wimbo wake wa FACEBOOK ndio akasema huwa hamfatilii hivyo hakuwa anamjua.
 
Mkuuu uko sahihi.
GAPE la HANS POPE limekuwa gumu sana kuzibwa ndani ya Simba SC
 
Miaka ya huko nyuma nilijawa na umbumbu wa kuamini kila ninayemjua maarufu na kwa mwingine/wengine atamjua/watamjua.

Ndicho kinaendelea hapa umbumbu wa The MoNA wengi wanao.
Huyo wa kuitwa Twissa licha ya kumjua ndio kwanza namsikia.
 
Miaka ya huko nyuma nilijawa na umbumbu wa kuamini kila ninayemjua maarufu na kwa mwingine/wengine atamjua/watamjua.

Ndicho kinaendelea hapa umbumbu wa The MoNA wengi wanao.
Huyo wa kuitwa Twissa licha ya kumjua ndio kwanza namsikia.
Hata mm ndio kwanza namsikia ila naonekana mtoto kutoka Sengerema huko
 
Sawa wasalimie huko Utopoloni na uwape hongera zao.
 
maelezo mengi na kujieleza ni udhaifu
 
Mkuu, huyu ni zaidi ya Mayele?
Huyo atawaingizia hela Yanga, huyo ni mayele upande wa deals za hela ndefu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!!!


Huyo jamaa aliwatengenezea hela Tigo, Voda wakamuiba akaenda kuwazalishia na sasa alikuwa Sportpesa, kumchukua mtu kama huyo utopoloni ni pigo kwa sisi wana Thimba Mlete mdhungu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…