Kumbe saa 5 anatambulishwa Kevin Twissa ila Barbara jifunze basi dah

Halafu madogo wa leo kweli hawamjui Kevin Twissa?? Enzi za tigo longa longa, vodacom kipind kile, fiesta alizipandisha
Mwisho akaja na j milionea
Kipindi cha nyuma co za simu zilikua zinapiga promishen zinabamba ss hv naona mambo ni tofauti sijui imekuaje
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ko huyo twika sjui ndo atasimaisha dunia???duh haya bhn ngoja tuone
 

Kaka bando si lake???unampangia mtu matumizi ya smart phone yake khaa!!
 
Una njaa kali huku unapoteza muda wako kulilia upuuzi?
 
Wewe ndiye mpuuzi namba moja. Unaokoteza umbeya huko kisha unauposti kimuhemko kisha wapuuzi wenzako wakakuunga mkono. Halafu eti unauita taharuki. Nadhani umejiona mpuuzi wa kupuuzwa kabisa na kila mwanasimba.
 
Sasa kawaombe msamaha viongozi wa simba kwa shombo uliyowapakaza.
 
Mkuu njaakalihatari msingi wa matusi yako yote na kufungua thread lukuki hapa jf kuwadhihaki Barbra na viongozi wengine wa simba ilikuwa ni Manzoki kusajiliwa na Yanga

Sasa ikiwa jambo hilo halijatokea na wala halijakuwa la kweli kwanini usitumie busara ndogo tu kuwaomba radhi hao viongoxi kama ulivyoweza fungua nyuzi lukuki za kuwananga kwa udhaifu wao why sasa usifungue tena nyuzi za kuwaomba radhi Barbra na viongozi wengine pale klabuni
 
Wanatakiwa wote wachapwe viboko kadhaa makalioni kwa dharau wanayofanyia wanasimba , tatizo la namba 6 na 9 siyo la jana wala leo, wamelifanyia majaribio utadhani simba sc ni guinea pig huku wakiweka malengo ya kufika nusu fainali..sasa tunaambiwa akpan kaonekana garasa, huku namba 9 kuna mzungu garasa
Yaani niombe radhi, hata kama manzoki akienda al hilal nitalalamika tu, alikosekana namba 9 mwingine afrika nzima hii
HAWA VIONGOZI WACHAPWE VIBOKO MAKALIONI NA BARBARA ANYOLEWE ZILE NYWELE ZIOTE NYINGINE LABDA AKILI YA MPIRA ITAOTA NAZO
Naomba unikumbushe tusi nililowatukana hao viongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…