Kumbe saa 5 anatambulishwa Kevin Twissa ila Barbara jifunze basi dah

Wewe kijana una matatizo. Ni mtu fulani ambaye hujatulia na kuruhusu akili ya kiuchambuzi kufanya kazi. Uongo umeuleta wewe, sasa kwa kuwa haijawa kama ramli yako ilivyotaka, unakuja na boko jingine eti Barbara ajifunze. Elewa si kila wafanyacho yanga na simba lazima wakifanye. Halafu uko mbele kutoa lawama lukuki zisizo na msingi wowote. Yaani Simba kuteleza kwa mwaka mmoja baada ya miaka minne unaona ajabu saaaaaana? Wewe ni shabiki fulani uliyebalehe hivi juzi bila shaka. Ndio maana kulalama kumezidi. Hujui ktk soka kuna kupanda na kushuka. Vyote ni sehemu ya mchezo na maisha yanapaswa yaendelee. Siku nyingine jifunze kinachowatokea Manchester United kabla ya kushukia mapovu viongozi wetu wa Simba.
 
Sasa kawaombe msamaha viongozi wa simba kwa shombo uliyowapakaza.
Msamaha sababu manzoki hajasajiliwa utopoloni? wao wamemsajili? wamesajili nani hiyo namba 9? mzungu??/
Nasubiri msamaha wao kwetu mashabiki
 
Chawa wa viongozi mmetoka shimoni sasa toka jana, mmepumua siyo? agh utopolo ni nooma aisee masaa 24 tu wametingisha figo na mioyo ya watu
wamefika kampala wakakubali kulipa kile kiasi cha pesa, sasa nyie msiyo na mihemko baada ya scouting ya karibu mwaka ndipo mkaleta mzungu na akpan katika nafasi zilizojulikana zina matatizo???
SISI WENGINE NI MASHABIKI WA SIMBA SC SIYO WA VIONGOZI, FUKUZA CHAWA, KATAA UCHAWA
 
Msamaha sababu manzoki hajasajiliwa utopoloni? wao wamemsajili? wamesajili nani hiyo namba 9? mzungu??/
Nasubiri msamaha wao kwetu mashabiki
Ndugu mpira ni biashara.
Shule zifunguliwe tu urudi shule. Sihawahibkuona
Shule zifunguliwe tu mrudi shule. Hamjui maana ya ushabiki wa mpira. Binafsi nawapongeza viongozi wa Simba kutokukurupuka kununua mkataba wa miezi miwili kwa dola 200,000. Wapuuze mihemko ya mashabiki maandazi kama wewe. Kumbuka soka ni burudani lakini pia ni biashara. Wewe huchangii chochote lakini uko mbele kuhemka wakuletee kila mchezaji unayemtaka. Wekeza na wewe ufanye hayo uyatakayo kama unadhani ni rahisi.
 
wanaoruhusiwa kuongea ni wanaochangia chochote sasa jao kina Barbara na wachezaji shobo zao za kusema njooni uwanjani na mtuombee kwa Mungu kwa nini wasiwe wanasema ni kwa ajili ya wanaochangia chochote
We ni kimba jeusi kabisa kwani afrika nzima alikosekana striker mwingine? eti na wewe unajiita shabiki mwenye uweledi unaotetea watuwaliosema wametibu tatizo la namba 6 kwa kumleta akpan leo tena hafai anaenda kwa mkopo , hopeless fool
 
Toa matusi yote unayoweza, lakini Simba ipo imara. Haiwezi kubabaishwa na wahemkaji kama wewe. Ukitaka acha kwenda uwanjani, wala hakuna atakayejua.
 
Hapo ni TOZO nyingine inaandaliwa. Hawanipati ng'o

♦️ Kwenye kodi za seikali ninapo fanya manunuzi mbalimbali serikali inanipigia bajeti

♦️ Wenye ma bar wananipigia bajeti wakija wateja kadhaa nitapata kadhaa

♦️ Kanisani mchungaji naye ananipigia bajeti kwenye sadaka wakija waumini kadhaa nitawatisha tisha mambo ya baada ya kifo watatoa sadaka kadhaa

♦️ Na kwenye mpita timu zimeanza miaka ya 60 hazina mtaji zinijaze jaze upepo na mimi niingie kingi eti mwanachama nitoe hela yangu? Thubutuuuu
 
Toa matusi yote unayoweza, lakini Simba ipo imara. Haiwezi kubabaishwa na wahemkaji kama wewe. Kuwa mpole Simba ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwapo bila wewe. Ukitaka acha kwenda uwanjani, wala hakuna atakayejua.
sasa kati ya mimi na wewe nani anayeipagania simba? simpiganii Barbara wala magori,
 
Manzoki tupo nae dirisha dogo sssa wasiwasi wa nini?
Kuna haja gani yakutoa Usd 200k kununua mkataba wa miezi mowili kwa klabu ambayo inaonekana wala haitaki mazungumzo na sisi pengine imekusudia kutukomoa tu.
 
Kweli mgeni mjini, Twissa aliipandisha Voda kileleni miaka flani ya nyuma
Usilinganishe mambo ya mitandao ya simu na mpira bro, marketing strategies zake hazishabihiani hata kdgo, muda upo subir uone km atafanya vzr km alivokua Voda [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huna lolote wewe. Tumekuumbua na mihemko yako. Nadhani umejifunza kutorudia tena kuleta upuuzi wako jukwaani.
 
Tanzania hili tatizo la kuwakuza viongozi lilianzia kwenye siasa na tunalipeleka kwenye sekta binafsi. Manara amejipamba na kujikuza hadi anaonekana ni star wa timu kuliko hata wachezaji bora wa timu.

Sasa huyu Twisa mnaenda kumkuza hivyo hivyo. Ila nilishasema Yanga waishukuru Simba, kila siku wanawafundisha jinsi ya kuendesha mambo kisasa, hawataki tu kukiri hilo.
 
Usilinganishe mambo ya mitandao ya simu na mpira bro, marketing strategies zake hazishabihiani hata kdgo, muda upo subir uone km atafanya vzr km alivokua Voda [emoji23][emoji23][emoji23]
Meanwhile, Simba O-2 leo tena 😂😂😂
 
Kwakumchukua TWISSA Yanga nawapongeza. The guy is very good on marketing issues hapa nchini.
Marketing ya kununua magoli na marefa na mechi au kuuza brand gani? Mpira naona mmeugeuza mziki sijui bao! We need players n technical bench na sio hizo wagwaniz useless Big time.

Wabongo tunachezea sana mpira mdomoni

Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…