Sijijui
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 7,877
- 8,804
Malaria?Tatizo in kuwa unakuta mtu haelewi màana ya cardiac arrest,hajui inatokeaje na hajui inakuwaje baada ya kumpata mtu mtu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Malaria?Tatizo in kuwa unakuta mtu haelewi màana ya cardiac arrest,hajui inatokeaje na hajui inakuwaje baada ya kumpata mtu mtu.
Mzna now EMMH, which is which?Hujui kwamba hapo EMMH walikua na department ya Moyo kabla hata JK hajawahengea wamatumbi JKCI
Toka yeye alivyopata lile Tatizo la kuanguka siku moja kabla ya Uchaguzi
Akiingia kwny lift pale PPF wengine wote muwe wafanyakazi/wateja wote mnashushwa
Alikua Mkurugenzi Mkuu wa moja ya mifuko ya akiba ya pension kipindi fualni nadhani ilikua PPF kipindi chake
Hospital Makumbusho - ukapelekwa Lugalo ,umetokea lugalo kwenda uwanja wa UhuruMmh, sijui.
Hospital Makumbusho - ukapelekwa Lugalo ,umetokea lugalo kwenda uwanja wa Uhuru
Sent using Jamii Forums mobile app
BADO JAMBO MOJA HALIJAWEKWA WAZI. NI HOSPITALI GANI ALIKOFIA? HAYA MAMBO YA KUFICHA FICHA NI USHAMBA. KANUNI ZA TANGAZO KWA UMMA (PRESS RELEASE) NI KWAMBA LIJIELEZE LENYEWE (SELF EXPLANATORY) USITOE TANGAZO LENYE KUIBUA MASWALI YASIYO YA LAZIMA.Wanabodi,
Kumbe sababu ya kifo cha Mpendwa wetu, Benjamin William Mkapa ni Cardiac Arrest!.
Asante sana Mwanafamilia wa familia ya Mkapa, William Erio, kuusema ukweli huu na kumaliza rasmi ile sintofahamu ya chanzo cha kifo, ambayo imezua mijadala kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo JF.
Kama Tangazo la kifo lingezingatia sheria tangu pale mwanzo, wala kusingetokea sintofahamu yoyote!.
Hivyo japo haijasemwa ni JF, lakini amini usiamini, mabandiko kama haya
Tangazo la kifo cha Benjamin Mkapa, Kurungenzi ya Mawasiliano Ikulu lawamani. Inahitaji kusaidiwa kumsaidia Rais - Jicho Letu Ndani ya Habari
Japo yanalaumiwa kwa kuonekana watu wana mind vitu vidogo vidogo ambayo sio vya msingi, lakini yanasaidia.
Chanzo cha kifo cha ghafla cha any state leader ambaye hajawahi kutamkwa kusumbuliwa na maradhi yoyote, automatically kita send a shock wave kwenda viral.
Baada ya kauli hii, sasa minongo yote kuhusu chanzo cha kifo imemalizwa rasmi.
Naombeni sana, wanabodi, tuwe na heshima kwa viongozi wetu na tuwe na heshima kwa marehemu, mkiisha ambiwa ukweli wa familia, then tuupokee ukweli huu, tuuamini, na kumheshimu Marehemu kwa kuto toa comments zozote negative based on hisia!.
RIP, Mhe. Rais Mstaafu, Benjamin William Mkapa.
Paskali
Bwana jumbe bia yetu aliechangamka...Asante Kaka Mimi maamuma tu Muuza Al kasus Tandale sema ninapenda kusoma vitabu vya elimu tofauti km alivyosema MAREHEMU Mkapa kuwa TUPENDE KUJISOMEA na tusiwe MAKANJANJA MALOFA km baadhi ya wale waandishi.....watu wakamchukia Mkapa kumbe aliwaambia ukweli maskini mzee wa watu.
Rip BWM,aamen
HATA KAMA KAFA KWA AJALI ISISEMWE? KAMA HUTAKI HILO, USIWATANGAZIE WATU KWAMBA UNA MSIBA. UKITANGAZA TU, SHARTI USEME KIFO NI CHA NAMNA GANI. HAWAWEZI WATU KWENDA KWENYE MSIBA WASIOUJUA.Sioni haja ya kujua marehemu kafa Na ugonjwa gani?.
NI UTARATIBU MBAYA.
ugonjwa wa marehemu ni siri yake Na ndugu zake.
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Na akumbuke pia cardiac infarct ina correlate na cardiac arrest...In most cases heart attack inasababisha Cardiac arrest.
Hiyo Cardiac arrest ingempata nyumbani, ofisini, kikaoni kanisani nk. basi tungeelewa. Lakini mzee alikuwa hospitalini siku kadhaa kabla ya kifo chake. Sasa tuambiwe tu, kabla ya kuipata hiyo Cardiac arrest alikuwa hospitalini akiuuguzwa nini?
Nimejaribu kupitia mitandao duniani kuhusu hiyo Cardiac arrest na haya ndio niliyoyapata....
-Cardiac arrest huwa haiji tu yenyewe, ni lazima iwe na chanzo chake mahususi. Na ikiwa ikitokea tu pasipo kuwepo ugonjwa unaojulikana kabla, ni muhimu (lazima!) uchunguzi wa maalum wa maiti (postmortem) ufanyike.
-Wapo wagonjwa wengi wenye changamoto ya kupumua kabla ya kukata kamba wakapatwa na Cardiac arrest.
Hivi nyinyi watu wengine ni wagumu kuelewa? UMESHAAMBIWA KABLA YA CARDIAC ARREST ALIKUA ANAUMWA MALARIAHiyo Cardiac arrest ingempata nyumbani, ofisini, kikaoni kanisani nk. basi tungeelewa. Lakini mzee alikuwa hospitalini siku kadhaa kabla ya kifo chake. Sasa tuambiwe tu, kabla ya kuipata hiyo Cardiac arrest alikuwa hospitalini akiuuguzwa nini?
Nimejaribu kupitia mitandao duniani kuhusu hiyo Cardiac arrest na haya ndio niliyoyapata....
-Cardiac arrest huwa haiji tu yenyewe, ni lazima iwe na chanzo chake mahususi. Na ikiwa ikitokea tu pasipo kuwepo ugonjwa unaojulikana kabla, ni muhimu (lazima!) uchunguzi wa maalum wa maiti (postmortem) ufanyike.
-Wapo wagonjwa wengi wenye changamoto ya kupumua kabla ya kukata kamba wakapatwa na Cardiac arrest.
Wanabodi,
Kumbe sababu ya kifo cha Mpendwa wetu, Benjamin William Mkapa ni Cardiac Arrest!.
Asante sana Mwanafamilia wa familia ya Mkapa, William Erio, kuusema ukweli huu na kumaliza rasmi ile sintofahamu ya chanzo cha kifo, ambayo imezua mijadala kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo JF.
Kama Tangazo la kifo lingezingatia sheria tangu pale mwanzo, wala kusingetokea sintofahamu yoyote!.
Hivyo japo haijasemwa ni JF, lakini amini usiamini, mabandiko kama haya
Tangazo la kifo cha Benjamin Mkapa, Kurungenzi ya Mawasiliano Ikulu lawamani. Inahitaji kusaidiwa kumsaidia Rais - Jicho Letu Ndani ya Habari
Japo yanalaumiwa kwa kuonekana watu wana mind vitu vidogo vidogo ambayo sio vya msingi, lakini yanasaidia.
Chanzo cha kifo cha ghafla cha any state leader ambaye hajawahi kutamkwa kusumbuliwa na maradhi yoyote, automatically kita send a shock wave kwenda viral.
Baada ya kauli hii, sasa minongo yote kuhusu chanzo cha kifo imemalizwa rasmi.
Naombeni sana, wanabodi, tuwe na heshima kwa viongozi wetu na tuwe na heshima kwa marehemu, mkiisha ambiwa ukweli wa familia, then tuupokee ukweli huu, tuuamini, na kumheshimu Marehemu kwa kuto toa comments zozote negative based on hisia!.
RIP, Mhe. Rais Mstaafu, Benjamin William Mkapa.
Paskali
HATA KAMA KAFA KWA AJALI ISISEMWE? KAMA HUTAKI HILO, USIWATANGAZIE WATU KWAMBA UNA MSIBA. UKITANGAZA TU, SHARTI USEME KIFO NI CHA NAMNA GANI. HAWAWEZI WATU KWENDA KWENYE MSIBA WASIOUJUA.
Sijui watu wanalazimishia ninj hata sielewi!Hivi nyinyi watu wengine ni wagumu kuelewa? UMESHAAMBIWA KABLA YA CARDIAC ARREST ALIKUA ANAUMWA MALARIA
Corona Tanzania haisemwi maana Ina mahusiano na umaarufu wa mtuNi kwa masikitiko makubwa rais mstaafu Mkapa (rip) katutoka katika mazingira yale ya kutangaziwa kifo moja kwa moja bila ya kusikia mtu kuumwa wala kuuguzwa.
Pamoja na yote kwa mwalimu (rip), taifa lilipata lau nafasi ya kumwombea akiwa hospitali St. Thomas - alikolazwa pia baadaye Boris Johnson.
Kuacha yote hayo pembeni, ugonjwa uliomwondoa mzee wetu utabaki kuwa ni huo huo aliokufa nao hata nani afanye je.
Ikumbukwe kuwa huwa pana sababu ya kifo na yatokanayo na sababu yenyewe. Wenyewe wanaita second degree.
Can Coronavirus Cause Heart Damage?
Mzee wetu katutoka. Cha maana hapa tulipo ni kujifunza kutokana na yaliyomkuta kwa ajili ya ambao wangali hai kama inaweza kuwasaidia siku za usoni.
Apumzike kwa amani mzee wetu, rais mstaafu Mkapa.
Corona Tanzania haisemwi maana Ina mahusiano na umaarufu wa mtu
Sioni haja ya kujua marehemu kafa Na ugonjwa gani?.
NI UTARATIBU MBAYA.
ugonjwa wa marehemu ni siri yake Na ndugu zake.
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app