Kumbe sababu ya kifo cha Mkapa ni Cardiac Arrest. Asante sana mwanafamilia William Erio kumaliza sintofahamu hii

Familia wamejichanganya sana na wamemfanya kikwete aonekane muongo wakati kikwete alienda kumuona kweli na mkweli ni kikwete na Hosptal alipokuwa kikwete anapajua, wanafamilia wamejichanganya sana ni Aibu kubwa

Kwanini wanafamilia ndio waonekane waongo na wao ndio walikua na mzeee wao ... vaaa nafsi yako Baba yako anakufa Alafu watu wanapotosha ....

Hiki kifo kina siri kubwa

Pengine BWM alikua kikwazo kwenye ajenda fulani

Muda ni Mwalimu tusubiri
 
Still connecting the relation of Malaria with Cardiac arrest sipati jibu? but kuna uhusiano mkubwa kati ya upumuaji na shambulio la moyo.

Jiongezeni wakubwa, Israel mtoa bado anawinda roho za watu wenye shingo ngumu.
Na hilo ndo kubwa linalosubiliwa
 
Wanabodi,
Kumbe sababu ya kifo cha Mpendwa wetu, Benjamin William Mkapa ni Cardiac Arrest!.

Asante sana Mwanafamilia wa familia ya Mkapa, William Erio, kuusema ukweli huu na kumaliza rasmi ile sintofahamu ya chanzo cha kifo, ambayo imezua mijadala kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo JF.

Kama Tangazo la kifo lingezingatia sheria tangu pale mwanzo, wala kusingetokea sintofahamu yoyote!.

Hivyo japo haijasemwa ni JF, lakini amini usiamini, mabandiko kama haya

Tangazo la kifo cha Benjamin Mkapa, Kurungenzi ya Mawasiliano Ikulu lawamani. Inahitaji kusaidiwa kumsaidia Rais - Jicho Letu Ndani ya Habari

Japo yanalaumiwa kwa kuonekana watu wana mind vitu vidogo vidogo ambayo sio vya msingi, lakini yanasaidia.

Chanzo cha kifo cha ghafla cha any state leader ambaye hajawahi kutamkwa kusumbuliwa na maradhi yoyote, automatically kita send a shock wave kwenda viral.

Baada ya kauli hii, sasa minongo yote kuhusu chanzo cha kifo imemalizwa rasmi.
Naombeni sana, wanabodi, tuwe na heshima kwa viongozi wetu na tuwe na heshima kwa marehemu, mkiisha ambiwa ukweli wa familia, then tuupokee ukweli huu, tuuamini, na kumheshimu Marehemu kwa kuto toa comments zozote negative based on hisia!.

RIP, Mhe. Rais Mstaafu, Benjamin William Mkapa.

Paskali
Hivi Pascal form ya ubunge ulichukulia sh ngapi?
 
Familia ndio wanajua na wametoa taarifa kuwa ni cardiac arrest ,na kwa mwili wa Marehemu mkapa alivyo magonjwa ya moyo sio ajabu na hutokea muda wowote, sasa mimi sioni point ya kubishana hapa.
 
Siasa isitugawe jamani, mavi-jana ya Tanzania mbona mnataka kuwa wapumbavu na malofa namna hiyo? Kwani kabla ya Corona watu walikuwa hawafi kwa heart attack? Majitu yamekomalia eti tuongeze na zetu, zipi hizo? Tuache umazwazwa!!
Mkuu kwani Kati ya mtu aliyepokea pass ya mwisho na kutumbukiza kitu nyavuni na mtu aliyewalamba vyenga mabeki wote hadi golikipa Kisha akatoa pasi kwa mfumania nyavu ,nani Kati ya hao wawili amefunga goli
 
Wanabodi,
Kumbe sababu ya kifo cha Mpendwa wetu, Benjamin William Mkapa ni Cardiac Arrest!.

Asante sana Mwanafamilia wa familia ya Mkapa, William Erio, kuusema ukweli huu na kumaliza rasmi ile sintofahamu ya chanzo cha kifo, ambayo imezua mijadala kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo JF.

Kama Tangazo la kifo lingezingatia sheria tangu pale mwanzo, wala kusingetokea sintofahamu yoyote!.

Hivyo japo haijasemwa ni JF, lakini amini usiamini, mabandiko kama haya

Tangazo la kifo cha Benjamin Mkapa, Kurungenzi ya Mawasiliano Ikulu lawamani. Inahitaji kusaidiwa kumsaidia Rais - Jicho Letu Ndani ya Habari

Japo yanalaumiwa kwa kuonekana watu wana mind vitu vidogo vidogo ambayo sio vya msingi, lakini yanasaidia.

Chanzo cha kifo cha ghafla cha any state leader ambaye hajawahi kutamkwa kusumbuliwa na maradhi yoyote, automatically kita send a shock wave kwenda viral.

Baada ya kauli hii, sasa minongo yote kuhusu chanzo cha kifo imemalizwa rasmi.
Naombeni sana, wanabodi, tuwe na heshima kwa viongozi wetu na tuwe na heshima kwa marehemu, mkiisha ambiwa ukweli wa familia, then tuupokee ukweli huu, tuuamini, na kumheshimu Marehemu kwa kuto toa comments zozote negative based on hisia!.

RIP, Mhe. Rais Mstaafu, Benjamin William Mkapa.

Paskali

Ni kwa masikitiko makubwa rais mstaafu Mkapa (rip) katutoka katika mazingira yale ya kutangaziwa kifo moja kwa moja bila ya kusikia mtu kuumwa wala kuuguzwa.

Pamoja na yote kwa mwalimu (rip), taifa lilipata lau nafasi ya kumwombea akiwa hospitali St. Thomas - alikolazwa pia baadaye Boris Johnson.

Kuacha yote hayo pembeni, ugonjwa uliomwondoa mzee wetu utabaki kuwa ni huo huo aliokufa nao hata nani afanye je.

Ikumbukwe kuwa huwa pana sababu ya kifo na yatokanayo na sababu yenyewe. Wenyewe wanaita second degree.

Can Coronavirus Cause Heart Damage?

Mzee wetu katutoka. Cha maana hapa tulipo ni kujifunza kutokana na yaliyomkuta kwa ajili ya ambao wangali hai kama inaweza kuwasaidia siku za usoni.

Apumzike kwa amani mzee wetu, rais mstaafu Mkapa.
 
Nawe pia haujaelewa. Ni malaria ndio imemuua. Ndio imesabisha cardiac arrest. Ni malaria ndio imesabisha kifo. Usitenganishe malaria yake na cardiac arrest. Kinachoitwa kifo/death ndio cardiac arrest hiyo kwa kitaalam.

Mi sio Dokta, kama umemsikikiza msemaji wa familia inatosha.
 
Hiyo Cardiac arrest ingempata nyumbani, ofisini, kikaoni kanisani nk. basi tungeelewa. Lakini mzee alikuwa hospitalini siku kadhaa kabla ya kifo chake. Sasa tuambiwe tu, kabla ya kuipata hiyo Cardiac arrest alikuwa hospitalini akiuuguzwa nini?

Nimejaribu kupitia mitandao duniani kuhusu hiyo Cardiac arrest na haya ndio niliyoyapata....
-Cardiac arrest huwa haiji tu yenyewe, ni lazima iwe na chanzo chake mahususi. Na ikiwa ikitokea tu pasipo kuwepo ugonjwa unaojulikana kabla, ni muhimu (lazima!) uchunguzi wa maalum wa maiti (postmortem) ufanyike.

-Wapo wagonjwa wengi wenye changamoto ya kupumua kabla ya kukata kamba wakapatwa na Cardiac arrest.
 
We acha tu Kaka...Mkapa alisema TAIFA LINA WAANDISHI KANJANJA.....na hwenda pia tuna madaktari KANJANJA Hawa wa humu MITANDAONI....

NImemuelewa ERIO;
CAUSE OF DEATH:CARDIAC ARREST SECONDARY TO SEVERE(COMPLICATED MALARIA).

Mengine ni POROJO ZA KINDWANYE
Tatizo in kuwa unakuta mtu haelewi màana ya cardiac arrest,hajui inatokeaje na hajui inakuwaje baada ya kumpata mtu mtu.
 
Wanabodi,
Kumbe sababu ya kifo cha Mpendwa wetu, Benjamin William Mkapa ni Cardiac Arrest!.

Asante sana Mwanafamilia wa familia ya Mkapa, William Erio, kuusema ukweli huu na kumaliza rasmi ile sintofahamu ya chanzo cha kifo, ambayo imezua mijadala kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo JF.

Kama Tangazo la kifo lingezingatia sheria tangu pale mwanzo, wala kusingetokea sintofahamu yoyote!.

Hivyo japo haijasemwa ni JF, lakini amini usiamini, mabandiko kama haya

Tangazo la kifo cha Benjamin Mkapa, Kurungenzi ya Mawasiliano Ikulu lawamani. Inahitaji kusaidiwa kumsaidia Rais - Jicho Letu Ndani ya Habari

Japo yanalaumiwa kwa kuonekana watu wana mind vitu vidogo vidogo ambayo sio vya msingi, lakini yanasaidia.

Chanzo cha kifo cha ghafla cha any state leader ambaye hajawahi kutamkwa kusumbuliwa na maradhi yoyote, automatically kita send a shock wave kwenda viral.

Baada ya kauli hii, sasa minongo yote kuhusu chanzo cha kifo imemalizwa rasmi.
Naombeni sana, wanabodi, tuwe na heshima kwa viongozi wetu na tuwe na heshima kwa marehemu, mkiisha ambiwa ukweli wa familia, then tuupokee ukweli huu, tuuamini, na kumheshimu Marehemu kwa kuto toa comments zozote negative based on hisia!.

RIP, Mhe. Rais Mstaafu, Benjamin William Mkapa.

Paskali
Wazee wa nyuma ya pazia na chini ya kapeti hawato kuelewa,wao wameamua kushika la kwao.
 
Kwanini wanafamilia ndio waonekane waongo na wao ndio walikua na mzeee wao ... vaaa nafsi yako Baba yako anakufa Alafu watu wanapotosha ....

Hiki kifo kina siri kubwa

Pengine BWM alikua kikwazo kwenye ajenda fulani

Muda ni Mwalimu tusubiri
Rais mstaafu anawezaje kuwa kikwazo ?
 
Wanabodi,
Kumbe sababu ya kifo cha Mpendwa wetu, Benjamin William Mkapa ni Cardiac Arrest!.

Asante sana Mwanafamilia wa familia ya Mkapa, William Erio, kuusema ukweli huu na kumaliza rasmi ile sintofahamu ya chanzo cha kifo, ambayo imezua mijadala kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo JF.

Kama Tangazo la kifo lingezingatia sheria tangu pale mwanzo, wala kusingetokea sintofahamu yoyote!.

Hivyo japo haijasemwa ni JF, lakini amini usiamini, mabandiko kama haya

Tangazo la kifo cha Benjamin Mkapa, Kurungenzi ya Mawasiliano Ikulu lawamani. Inahitaji kusaidiwa kumsaidia Rais - Jicho Letu Ndani ya Habari

Japo yanalaumiwa kwa kuonekana watu wana mind vitu vidogo vidogo ambayo sio vya msingi, lakini yanasaidia.

Chanzo cha kifo cha ghafla cha any state leader ambaye hajawahi kutamkwa kusumbuliwa na maradhi yoyote, automatically kita send a shock wave kwenda viral.

Baada ya kauli hii, sasa minongo yote kuhusu chanzo cha kifo imemalizwa rasmi.
Naombeni sana, wanabodi, tuwe na heshima kwa viongozi wetu na tuwe na heshima kwa marehemu, mkiisha ambiwa ukweli wa familia, then tuupokee ukweli huu, tuuamini, na kumheshimu Marehemu kwa kuto toa comments zozote negative based on hisia!.

RIP, Mhe. Rais Mstaafu, Benjamin William Mkapa.

Paskali

!
!
samahani niko nje ya mada. Vipi matokeo ya uchaguzi huko uliko? au wajumbe wefanya yao.
 
Back
Top Bottom