Kumbe sababu ya kifo cha Mkapa ni Cardiac Arrest. Asante sana mwanafamilia William Erio kumaliza sintofahamu hii

Kumbe sababu ya kifo cha Mkapa ni Cardiac Arrest. Asante sana mwanafamilia William Erio kumaliza sintofahamu hii

Kikwete: "Jana jioni nilikwenda kumuona hospitali, tulizungumza sana. Alikuwa na maumivu lakini siyo yale ambayo ukitoka kumuangalia mgonjwa unawaambia nimemuona mgonjwa lakini"

Binafsi kama itanihitaji nidescribe hali anayokua nayo mgonjwa wamalaria nisingetumia maneno kma kua namaumivu nafikir kusema kua Hakua nahoma kali nahis ingekua nataswira sahihi ya mtu anaeumwa malaria
Ukweli wanao watanzania moyoni na akilini mwao ingawa wanafamilia wamejitahidi kutaka kutuaminisha walichokisema wao
 
Sijui wataalamu, cardiac arrest ni mara moja tu, sio upate jumatano ufariki Ijumaa

Mbili, issue cardiac nilitegemea angepelekwa Hospitali yetu ya mabingwa wa moyo pale Jakaya Kikwete Cardiac Institute na sio Hospitali Mzna

Tungeacha tu kujadili tumzike Mzee wetu tuendelee na mengine maana tunazidi kuleta mkanganyiko

Hujaelewa , alipelekwa hosp kwa case ya malaria , hyo cardiac arrest imetokea ghafla akiwa huko hospital
 
Mkuu watu wa mitandaoni shida sana,hebu angalia mama magufuli alivyomkumbatia mama mkapa,na magufuli yuko pembeni,hivi ingekuwa korona kweli haya yote yangefanyika

Je madaktari wa mitandaoni ni bora kuliko tulip nao huku uraiani

Wanaosema ni korona wapuuzwe kwa kila namnaView attachment 1517349
We acha tu Kaka...Mkapa alisema TAIFA LINA WAANDISHI KANJANJA.....na hwenda pia tuna madaktari KANJANJA Hawa wa humu MITANDAONI....

NImemuelewa ERIO;
CAUSE OF DEATH:CARDIAC ARREST SECONDARY TO SEVERE(COMPLICATED MALARIA).

Mengine ni POROJO ZA KINDWANYE
 
Tumechoka kudanganywa
Nkurunzinza walisema hivyohivyo na kuficha ukweli kuwa ni Upumuaji
Huyu mzee naye wanatuambia hivyohivyo wakati dalili ni Upumuaji

Malofa na Wapumbavu hatuwezi kujua tu. Tutasubili waendelee kutuhabarisha kuwa sio UPUMUAJI
 
Nawe pia haujaelewa. Ni malaria ndio imemuua. Ndio imesabisha cardiac arrest. Ni malaria ndio imesabisha kifo. Usitenganishe malaria yake na cardiac arrest. Kinachoitwa kifo/death ndio cardiac arrest hiyo kwa kitaalam.
Hujaelewa , alipelekwa hosp kwa case ya malaria , hyo cardiac arrest imetokea ghafla akiwa huko hospital
 
Umbea na uongo unasumbua sana binadamu (watanzania) hivi kweli unapoteza muda kutaka kujua chanzo cha kifo?wote tunajua kifo kinatafutaga sababu,tumuombee akimaliza mwendo salama tena ameishi umri wa kutosha kabisa wa kimungu sasa mwenzangu na Mimi hatujui tutakufaje tuko busy kujadili na kujifanya madaktari bingwa😕😕😕
 
Wewe akili ndio huna, alikua anaumwa Malaria na anaendelea vzr akifuatilia habari ktk Tv, alipokua amekaa kwenye kiti akajisikia ghafla vibaya Cardiac arrest, sasa ww ulitaka wampeleke Jakaya Kikwete Cardiac kwa tatizo la Malaria ?
Aaah Mkuu maneno makali sana hayo nikose akili tena. Ni suala la kuelewa nimeelewa sasa Mkubwa
 
Naam. Cardiac arrest ni final product ya magonjwa mbalimbali. Cardiac arrest ndio kifo chenyewe. Kwa lugha ya kitaalam kifo = cardiac arrest (aka cardio-pulmonary arrest). Cardiac arrest/kifo kinaweza kusabishwa na magonjwa mbalimbali. Kwa Mkapa tumeambiwa ni severe malaria ndio imesababisha cardiac arrest yake. That makes sense. Ukitaka kulazimisha iwe cardiac/heart attack basi kabishane na madaktari wake. Siyo wanaJF.
Mkuu kifo cha mkapa ni covid 19 lakini kwa kuwa ilishatangazwa kuwa corona imekwisha Tanzania imekuwa vigumu kusema kafa kwa covid 19 na pia wameogopa wanafamilia kutengwa na jamii, tuendelee kuamini kile mmoja anakiamini moyoni mwake na hao wanafamilia acha waseme hayo kwani wapo watakaoamini kama alivyoamini Paskal mayala.
 
Mimi sikumtibu lakini. Kama wewe ulimtibu basi nakushukuru kwa taarifa.
Mkuu kifo cha mkapa ni covid 19 lakini kwa kuwa ilishatangazwa kuwa corona imekwisha Tanzania imekuwa vigumu kusema kafa kwa covid 19 na pia wameogopa wanafamilia kutengwa na jamii, tuendelee kuamini kile mmoja anakiamini moyoni mwake na hao wanafamilia acha waseme hayo kwani wapo watakaoamini kama alivyoamini Paskal mayala.
 
Wanabodi,
Kumbe sababu ya kifo cha Mpendwa wetu, Benjamin William Mkapa ni Cardiac Arrest!.

Asante sana Mwanafamilia wa familia ya Mkapa, William Erio, kuusema ukweli huu na kumaliza rasmi ile sintofahamu ya chanzo cha kifo, ambayo imezua mijadala kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo JF.

Kama Tangazo la kifo lingezingatia sheria tangu pale mwanzo, wala kusingetokea sintofahamu yoyote!.

Hivyo japo haijasemwa ni JF, lakini amini usiamini, mabandiko kama haya

Tangazo la kifo cha Benjamin Mkapa, Kurungenzi ya Mawasiliano Ikulu lawamani. Inahitaji kusaidiwa kumsaidia Rais - Jicho Letu Ndani ya Habari

Japo yanalaumiwa kwa kuonekana watu wana mind vitu vidogo vidogo ambayo sio vya msingi, lakini yanasaidia.

Chanzo cha kifo cha ghafla cha any state leader ambaye hajawahi kutamkwa kusumbuliwa na maradhi yoyote, automatically kita send a shock wave kwenda viral.

Baada ya kauli hii, sasa minongo yote kuhusu chanzo cha kifo imemalizwa rasmi.
Naombeni sana, wanabodi, tuwe na heshima kwa viongozi wetu na tuwe na heshima kwa marehemu, mkiisha ambiwa ukweli wa familia, then tuupokee ukweli huu, tuuamini, na kumheshimu Marehemu kwa kuto toa comments zozote negative based on hisia!.

RIP, Mhe. Rais Mstaafu, Benjamin William Mkapa.

Paskali

Kulikua na Sababu Gani Sasa ya kuwa na Kauli tofauti tofauti?
Ndugu wanasema ni Mshtuko wa Moyo na kafia nyumbani...
Hiyo story ya Hospital imetoka wapi
 
Umbea na uongo unasumbua sana binadamu (watanzania) hivi kweli unapoteza muda kutaka kujua chanzo cha kifo?wote tunajua kifo kinatafutaga sababu,tumuombee akimaliza mwendo salama tena ameishi umri wa kutosha kabisa wa kimungu sasa mwenzangu na Mimi hatujui tutakufaje tuko busy kujadili na kujifanya madaktari bingwa😕😕😕
Kama ni hivyo hata wanafamilia wasingesema kafa kwa nini wangesema kafariki tu, kujua kitu Tatizo siyo kupoteza mda, ina maana wanafamilia kusema kilichopoteza uhai ni umbea?
 
Wataalamu wa afya wanatumia vigezo 2 kueleza chanzo cha kifo chochote:- 1. Immediate cause na 2. Underlying cause, wakati mwingine huongeza intermediate cause na contributory cause,....nafikiri watanzania hatujajua tunachotaka kujua kati ya hayo na hivyo wanashindwa kutupatia jibu sahihi.
 
Kulikua na Sababu Gani Sasa ya kuwa na Kauli tofauti tofauti?
Ndugu wanasema ni Mshtuko wa Moyo na kafia nyumbani...
Hiyo story ya Hospital imetoka wapi
Familia wamejichanganya sana na wamemfanya kikwete aonekane muongo wakati kikwete alienda kumuona kweli na mkweli ni kikwete na Hosptal alipokuwa kikwete anapajua, wanafamilia wamejichanganya sana ni Aibu kubwa
 
Back
Top Bottom