Kumbe sababu ya kifo cha Mkapa ni Cardiac Arrest. Asante sana mwanafamilia William Erio kumaliza sintofahamu hii

Watanzania tunapenda Sana matukio na udaku.....na kila mmoja tayari anakuwa na jibu lake juu ya tukio......hakusikilizi kuelewa unachomwambia Bali kulinganisha anachotamani kusikia na unachomwambia........

Hapo ndio itashangaa kuwa anakuulizia kitu alafu anabishana na majibu yako!!!!....

Only in Tanzania
 
BADO JAMBO MOJA HALIJAWEKWA WAZI. NI HOSPITALI GANI ALIKOFIA? HAYA MAMBO YA KUFICHA FICHA NI USHAMBA. KANUNI ZA TANGAZO KWA UMMA (PRESS RELEASE) NI KWAMBA LIJIELEZE LENYEWE (SELF EXPLANATORY) USITOE TANGAZO LENYE KUIBUA MASWALI YASIYO YA LAZIMA.
 
Bwana jumbe bia yetu aliechangamka...

Mambo vipi mkuu
 
Sioni haja ya kujua marehemu kafa Na ugonjwa gani?.
NI UTARATIBU MBAYA.
ugonjwa wa marehemu ni siri yake Na ndugu zake.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
HATA KAMA KAFA KWA AJALI ISISEMWE? KAMA HUTAKI HILO, USIWATANGAZIE WATU KWAMBA UNA MSIBA. UKITANGAZA TU, SHARTI USEME KIFO NI CHA NAMNA GANI. HAWAWEZI WATU KWENDA KWENYE MSIBA WASIOUJUA.
 

Wa Burundi naye aliondoka kimzaha hivi hivi:

Corona: Ya Burundi ni somo tosha, hala hala majuto ni mjukuu

Tusipokuwa tayari kujifunza kwa matukio haya ama kwa hakika tutaendelea kujenga kuta sana, hali nafasi ya kuziba nyufa ilikuwapo.
 
Hivi nyinyi watu wengine ni wagumu kuelewa? UMESHAAMBIWA KABLA YA CARDIAC ARREST ALIKUA ANAUMWA MALARIA
 

Si vibaya akichekiwa maana siku za karibuni aliongelea habari za tume huru ya uchaguzi, wakati alitakiwa azungumzie kuongezewa muda.
 
Kama ni ajali si kila mtu atakuwa ameona?..
Unaona sasa upumbavu wa watanzania wanakwambia sio shambulio la moyo.
Ni ugonjwa mwingine. Sasa utajiuliza hata kama marehemu kafa kwa ukimwi wewe ukijua itakusaidia nini?
Ndo maana nasema ni upuuzi kutangaza mgonjwa kafa na ugonjwa gani?
HATA KAMA KAFA KWA AJALI ISISEMWE? KAMA HUTAKI HILO, USIWATANGAZIE WATU KWAMBA UNA MSIBA. UKITANGAZA TU, SHARTI USEME KIFO NI CHA NAMNA GANI. HAWAWEZI WATU KWENDA KWENYE MSIBA WASIOUJUA.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Corona Tanzania haisemwi maana Ina mahusiano na umaarufu wa mtu
 
Corona Tanzania haisemwi maana Ina mahusiano na umaarufu wa mtu

Jambo la kusikitisha sana kuifanyia Corona siasa ili kulinda au kujijengea umaarufu uchwara.

Corona ipo dunia nzima kama janga hatari hadi ukweli huo utakapoeleweka tungali na safari ndefu.
 
Sioni haja ya kujua marehemu kafa Na ugonjwa gani?.
NI UTARATIBU MBAYA.
ugonjwa wa marehemu ni siri yake Na ndugu zake.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app

Kwa jamii iliyostaarabika ambayo kila wakati hujipanga kuzuia na kupambana na changamoto zote kwa ajili ya kesho iliyo bora zaidi kuliko leo na jana, ugonjwa au sababu ya kifo cha marehemu haiwezi kuwa siri. (Labda mkuu, ulimaanisha zile sera za Mrema).

Ndiyo maana huwa kuna autopsy, postmortem na hata inquests ilikujua sababu halisi ya kifo pasi na shaka yoyote..

Ikumbukwe kuwa kama ni sababu au ugonjwa, mbona unabakia kuwa ni huo huo uliomwua marehemu hata nani afanye je?

Hayo ndiyo mambo yake mola. Kazi yake haina makosa.

Apumzike kwa amani Jabari la Muziki.

Apumzike kwa amani mzee wetu rais mstaafu Mkapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…