Ukishajua ugonjwa wa marehemu itakusaidia nini kwenye SHIDA ZAKO?.
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Sababu na/au ugonjwa wa marehemu ni somo muhimu labda kuliko yote hapa duniani.
Tafuta dictionary au google kujua maana ya maneno haya:
Autopsy, postmortem na inquest.
Majanga si madhara yake tu, bali pia huwezesha ufumbuzi wa baadaye.
Uzi huu wa janga hili ulikuwa na ambayo leo hali ingeweza kuwa tofauti:
Corona: Ya Burundi ni somo tosha, hala hala majuto ni mjukuu
Ninakazia:
View attachment 1517518
Mnalazimisha watu waongee kwa umbea wenu wa kwenye mitandao na wanasema jambo la uongo lisipokanushwa linageuka kuwa la kweliKama ni hivyo hata wanafamilia wasingesema kafa kwa nini wangesema kafariki tu, kujua kitu Tatizo siyo kupoteza mda, ina maana wanafamilia kusema kilichopoteza uhai ni umbea?
Kuna "somo" mle katika niliyoandika.
Masomo huwa kwa ajili ya binadamu si kwa wanyama kama manyani, nguruwe, kuku, na namna hiyo ya viumbe.
Umeelewa mkuu?
Sio Covid bwana.Yani mimi hata unichinje bado naamini kilichomsukuma mzee wetu Mkapa ni COVID 19. Full stop na tusipochukua tahadhari na kuendelea kama tulivyo basi itafika hawa wazee wameisha wote!
Ni kweli kiongozi. Tumeona hata Rais Magufuli na mkewe Janet wakimkumbatia mama Mkapa tena akiwa analia kwelikweli. Ingekuwa ni Corona wasingeruhusu hata wagusane. Tuache majungu!ndammu,
Kumbuka jana yake kikwete alikuwa hospitali na marehemu wakipiga story, sidhani kama hospitali ni wajinga kuruhusu kikwete kama mkapa angekuwa na corona.
Tena asilimia 100 na bado tutaendelea kupoteza watu huku tukiendelea kuishi gizaniSio Covid bwana.
Watanzania mshajichomoa medulla oblongata cardiac arrest inakutaarifu kuwa itakuja wakati gani?Hivi cardiac arrest huwa mgonjwa analazwa hospitali, anapiga stori na wanaomtembelea wee ndipo inamuua? Hapa kuna walakini. Itoshe tu kusema RIP Mkapa. Mambo mengine wanafamilia waendelee kuyafanya siri yao, wasiingie kwenye mtego wa kutuliza uvumi unaoendelea.
Hivi mfano ukipewa sababu itabadili nini hasa.
Watanzania wameamua kukataa kuuelewa na kuuishi ukweli na mbaya zaidi Rais wa nchi ni kiongozi wa kundi hilo!Kuna tofauti ya kushindwa kuelewa na kukataa kuelewa.
Kama binadamu yote hayo huwa yanapokelewa kwa mikono 2.
No it is not Corrona. Believe me.Tena asilimia 100 na bado tutaendelea kupoteza watu huku tukiendelea kuishi gizani
Wanabodi,
Kumbe sababu ya kifo cha Mpendwa wetu, Benjamin William Mkapa ni Cardiac Arrest!.
Asante sana Mwanafamilia wa familia ya Mkapa, William Erio, kuusema ukweli huu na kumaliza rasmi ile sintofahamu ya chanzo cha kifo, ambayo imezua mijadala kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo JF.
Kama Tangazo la kifo lingezingatia sheria tangu pale mwanzo, wala kusingetokea sintofahamu yoyote!.
Hivyo japo haijasemwa ni JF, lakini amini usiamini, mabandiko kama haya
Tangazo la kifo cha Benjamin Mkapa, Kurungenzi ya Mawasiliano Ikulu lawamani. Inahitaji kusaidiwa kumsaidia Rais - Jicho Letu Ndani ya Habari
Japo yanalaumiwa kwa kuonekana watu wana mind vitu vidogo vidogo ambayo sio vya msingi, lakini yanasaidia.
Chanzo cha kifo cha ghafla cha any state leader ambaye hajawahi kutamkwa kusumbuliwa na maradhi yoyote, automatically kita send a shock wave kwenda viral.
Baada ya kauli hii, sasa minongo yote kuhusu chanzo cha kifo imemalizwa rasmi.
Naombeni sana, wanabodi, tuwe na heshima kwa viongozi wetu na tuwe na heshima kwa marehemu, mkiisha ambiwa ukweli wa familia, then tuupokee ukweli huu, tuuamini, na kumheshimu Marehemu kwa kuto toa comments zozote negative based on hisia!.
RIP, Mhe. Rais Mstaafu, Benjamin William Mkapa.
Paskali
Mkurugugenzi wa NSSF, zamani kabla kuunganishwa mifuko ya jamii alikuwa mkurugenzi wa PPF
Hawa hawajui cardiac arrest. Hiyo kitu mtu mnakula nae. Ghafla mwenzenu anawaacha.Watanzania mshajichomoa medulla oblongata cardiac arrest inakutaarifu kuwa itakuja wakati gani?
Watanzania wameamua kukataa kuuelewa na kuuishi ukweli na mbaya zaidi Rais wa nchi ni kiongozi wa kundi hilo!
HayaNo it is not Corrona. Believe me.