Kumbe sababu ya kifo cha Mkapa ni Cardiac Arrest. Asante sana mwanafamilia William Erio kumaliza sintofahamu hii

Kumbe sababu ya kifo cha Mkapa ni Cardiac Arrest. Asante sana mwanafamilia William Erio kumaliza sintofahamu hii

Ukishajua ugonjwa wa marehemu itakusaidia nini kwenye SHIDA ZAKO?.


Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app

Sababu na/au ugonjwa wa marehemu ni somo muhimu labda kuliko yote hapa duniani.

Tafuta dictionary au google kujua maana ya maneno haya:

Autopsy, postmortem na inquest.

Majanga si madhara yake tu, bali pia huwezesha ufumbuzi wa baadaye.

Uzi huu wa janga hili ulikuwa na ambayo leo hali ingeweza kuwa tofauti:

Corona: Ya Burundi ni somo tosha, hala hala majuto ni mjukuu

Ninakazia:

IMG_20200726_153159_265.jpg
 
Sasa wewe ujue kama nani?
Sababu na/au ugonjwa wa marehemu ni somo muhimu labda kuliko yote hapa duniani.

Tafuta dictionary au google kujua maana ya maneno haya:

Autopsy, postmortem na inquest.

Majanga si madhara yake tu, bali pia huwezesha ufumbuzi wa baadaye.

Uzi huu wa janga hili ulikuwa na ambayo leo hali ingeweza kuwa tofauti:

Corona: Ya Burundi ni somo tosha, hala hala majuto ni mjukuu

Ninakazia:

View attachment 1517518

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Kama ni hivyo hata wanafamilia wasingesema kafa kwa nini wangesema kafariki tu, kujua kitu Tatizo siyo kupoteza mda, ina maana wanafamilia kusema kilichopoteza uhai ni umbea?
Mnalazimisha watu waongee kwa umbea wenu wa kwenye mitandao na wanasema jambo la uongo lisipokanushwa linageuka kuwa la kweli
 
"Chanzo cha kifo cha ghafla cha any state leader ambaye hajawahi kutamkwa kusumbuliwa na maradhi yoyote, automatically kita send a shock wave kwenda viral"

Msukuma akisoma kidogo inakuwa tabu
 
ndammu,
Kumbuka jana yake kikwete alikuwa hospitali na marehemu wakipiga story, sidhani kama hospitali ni wajinga kuruhusu kikwete kama mkapa angekuwa na corona.
Ni kweli kiongozi. Tumeona hata Rais Magufuli na mkewe Janet wakimkumbatia mama Mkapa tena akiwa analia kwelikweli. Ingekuwa ni Corona wasingeruhusu hata wagusane. Tuache majungu!

Queen Esther
 
Hivi cardiac arrest huwa mgonjwa analazwa hospitali, anapiga stori na wanaomtembelea wee ndipo inamuua? Hapa kuna walakini. Itoshe tu kusema RIP Mkapa. Mambo mengine wanafamilia waendelee kuyafanya siri yao, wasiingie kwenye mtego wa kutuliza uvumi unaoendelea.
Watanzania mshajichomoa medulla oblongata cardiac arrest inakutaarifu kuwa itakuja wakati gani?
 
Wanabodi,
Kumbe sababu ya kifo cha Mpendwa wetu, Benjamin William Mkapa ni Cardiac Arrest!.

Asante sana Mwanafamilia wa familia ya Mkapa, William Erio, kuusema ukweli huu na kumaliza rasmi ile sintofahamu ya chanzo cha kifo, ambayo imezua mijadala kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo JF.

Kama Tangazo la kifo lingezingatia sheria tangu pale mwanzo, wala kusingetokea sintofahamu yoyote!.

Hivyo japo haijasemwa ni JF, lakini amini usiamini, mabandiko kama haya

Tangazo la kifo cha Benjamin Mkapa, Kurungenzi ya Mawasiliano Ikulu lawamani. Inahitaji kusaidiwa kumsaidia Rais - Jicho Letu Ndani ya Habari

Japo yanalaumiwa kwa kuonekana watu wana mind vitu vidogo vidogo ambayo sio vya msingi, lakini yanasaidia.

Chanzo cha kifo cha ghafla cha any state leader ambaye hajawahi kutamkwa kusumbuliwa na maradhi yoyote, automatically kita send a shock wave kwenda viral.

Baada ya kauli hii, sasa minongo yote kuhusu chanzo cha kifo imemalizwa rasmi.
Naombeni sana, wanabodi, tuwe na heshima kwa viongozi wetu na tuwe na heshima kwa marehemu, mkiisha ambiwa ukweli wa familia, then tuupokee ukweli huu, tuuamini, na kumheshimu Marehemu kwa kuto toa comments zozote negative based on hisia!.

RIP, Mhe. Rais Mstaafu, Benjamin William Mkapa.

Paskali

Nikushauri Paskali sio kila kitu lazima uandike. Kwa kweli bandiko lako la kukosoa itifaki ya state hse halikuwa zuri. Hakuna mashindano sio kila kitu lazima ukosoe. Watu sio wajinga! Ulitaka tangazo litoke asubuhi ili jamaa kama yule kgg na masjangazo wa hiari waandike na kupotosha kama wanavyofanya?

Mambo mengine tuwe tunayaacha yapite. Watu sio wajinga
 
Watanzania wameamua kukataa kuuelewa na kuuishi ukweli na mbaya zaidi Rais wa nchi ni kiongozi wa kundi hilo!

Ninakusoma mkuu. Aliyeandika hayo niliyonukuu in red (heshima kwake bwana kiranga), aliona mbali sana.

IMG_20200724_095942_863.jpg


Time will tell.
 
Back
Top Bottom