Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Huyu mwanafamilia alikuwa na sababu gani ya kutaja bahasha? Kama Alitaka tujue ni Zaka ya hayati, tutauliza hiyo bahasha ilikuwa na ukubwa gani? Au ndio yale ya kumpiga mpaka Mungu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha u.sengeza kumbiwa changanya na zako
Mwanafamilia kachemsha sana vipo vingi kajichanganya sanaHuyu mwanafamilia alikuwa na sababu gain ya kutaja bahasha? Kama Alitaka tujue ni Zaka ya hayati, tutauliza hiyo bahasha ilikuwa na ukubwa gain? Au ndio yake ya kumpiga mpaka Mungu.
Sijui wataalamu, cardiac arrest ni mara moja tu, sio upate jumatano ufariki Ijumaa
Mbili, issue cardiac nilitegemea angepelekwa Hospitali yetu ya mabingwa wa moyo pale Jakaya Kikwete Cardiac Institute na sio Hospitali Mzna
Tungeacha tu kujadili tumzike Mzee wetu tuendelee na mengine maana tunazidi kuleta mkanganyiko
We f.a.la sanaHivi cardiac arrest huwa mgonjwa analazwa hospitali, anapiga stori na wanaomtembelea wee ndipo inamuua? Hapa kuna walakini. Itoshe tu kusema RIP Mkapa. Mambo mengine wanafamilia waendelee kuyafanya siri yao, wasiingie kwenye mtego wa kutuliza uvumi unaoendelea.
za kumbiwa changanya na zako
Inaitwa 'heart attack' au kwa kitalaamu 'myocardial infarction'. Huwa inatokea suddenly any time anywhere na wakati mwingine bila warning symptoms. Na kama infarction ni kubwa basi kifo hutokea instantly kwani moyo husimama (cardiac arrest) pale pale. Husababishwa na blockage ya moja ya mishipa mikubwa ya moyo (coronary arteries) by an embolic thrombus.Sijui wataalamu, cardiac arrest ni mara moja tu, sio upate jumatano ufariki Ijumaa
Cardiac arrest kwa kisukuma ndio nini?
Cardiac arrest kwa kisukuma ndio nini?
Ulimuona alipokuwa anaongea naye alikuwa mita ngapi na alijichukulia tahadhari gani. Tuyaache tuu.ndammu,
Kumbuka jana yake kikwete alikuwa hospitali na marehemu wakipiga story, sidhani kama hospitali ni wajinga kuruhusu kikwete kama mkapa angekuwa na corona.
Hivi yule makamo wake Dr omary yeye ndio akulazwaga ila kifo chake kilikuwa sinema kama hiki hiki Mara karudi kaingia ndani sijui ikawaje tarifa ikaja kafarikiza kumbiwa changanya na zako
Kikwete anapiga nyungu sana na kama amehisi ni covid 19 atashinda akinywa tangawizi leoUlimuona alipokuwa anaongea naye alikuwa mita ngapi na alijichukulia tahadhari gani. Tuyaache tuu.
Hayo ni mawazo ya kipuuziJAMANI KWANINI TUNAPATA TABU SANA HATUWI WENYE KUELEWA?
CHANZO CHA KIFO CHA MKAPA
ALIKUJA MALAIKA WA MAUTI NA KUICHUKUA ROHO YAKE NA KUIPAISHA MBINGUNI,
NA CHANZO CHA KIFO CHANGU MIMI NA WEWE KITAKUWA HICHO HICHO.
KINACHOTAKIWA NI KUSEMA
SISI NI WA MUUMBA NA KWKE YEYE TUTAREJEA.
Nachukia sana fix. Anayekupiga fix ukweli in kuwa kakudharau.Shambulio la moyo mara nyingi mtu huwa yupo kwenye coma na anakuwa chini ya uangalizi wa madaktari muda wa kuzungumza zaidi ya saa zima anatoa wapi...
Naona awamu hii shambulio la moyo ndio kimbilio..
Muwe mnaelewa kwanza kabla ya kubisha. Maelezo ni kuwa aliugua malaria kwanza ndiyo akalazwa. Sasa hiyo cardial arrest ilimpata ghafla wakati amelazwa. Pengine ungehoji labda dawa au matibabu aliyopata ndiyo yalileta hiyo hali? Au ilikuwa ni coincidence tu?
Mkapa kafa na vingi kichwani hata nyerere alifariki dakika chache baada ya yeye kutoka wodini kumjulia hali, ukumbuke walikuwa na mvutano na nyerere juu ya ubinafusishaji wa NBC Bank na yale mashirika yaliyokuwa yakifanya vizuri kibiashara kabla ya ubinafusishaji.Hivi yule makamo wake Dr omary yeye ndio akulazwaga ila kifo chake kilikuwa sinema kama hiki hiki Mara karudi kaingia ndani sijui ikawaje tarifa ikaja kafariki
Inaitwa 'heart attack' au kwa kitalaamu 'myocardial infarction'. Huwa inatokea suddenly any time anywhere na wakati mwingine bila warning symptoms. Na kama infarction ni kubwa basi kifo hutokea instantly kwani moyo husimama (cardiac arrest) pale pale. Husababishwa na blockage ya moja ya mishipa mikubwa ya moyo (coronary arteries) by an embolic thrombus.
Awamu ya viwanda eti covid 19 kwao ni Aibu wakati kule Burundi imekula Rais mstaafu hakuna aliyeficha siriNachukia sana fix. Anayekupiga fix ukweli in kuwa kakudharau.
Ngoja adharauliwe Pascal Mayalla kama walivyo mdharau "wajumbe" sio mimi.
Hivi kuna ugonjwa wa aibu? Mbona ugonjwa ni ugonjwa tuu! Awamu ya 5 mmezidi fix mpaka aibu!