Kumbe sababu ya kifo cha Mkapa ni Cardiac Arrest. Asante sana mwanafamilia William Erio kumaliza sintofahamu hii

Kumbe sababu ya kifo cha Mkapa ni Cardiac Arrest. Asante sana mwanafamilia William Erio kumaliza sintofahamu hii

Huyu mwanafamilia alikuwa na sababu gani ya kutaja bahasha? Kama Alitaka tujue ni Zaka ya hayati, tutauliza hiyo bahasha ilikuwa na ukubwa gani? Au ndio yale ya kumpiga mpaka Mungu.
 
Huyu mwanafamilia alikuwa na sababu gain ya kutaja bahasha? Kama Alitaka tujue ni Zaka ya hayati, tutauliza hiyo bahasha ilikuwa na ukubwa gain? Au ndio yake ya kumpiga mpaka Mungu.
Mwanafamilia kachemsha sana vipo vingi kajichanganya sana
 
Sijui wataalamu, cardiac arrest ni mara moja tu, sio upate jumatano ufariki Ijumaa

Mbili, issue cardiac nilitegemea angepelekwa Hospitali yetu ya mabingwa wa moyo pale Jakaya Kikwete Cardiac Institute na sio Hospitali Mzna

Tungeacha tu kujadili tumzike Mzee wetu tuendelee na mengine maana tunazidi kuleta mkanganyiko

Hahaha
Nilichoelewa ni kuwa hiyo Cardiac amepata wakati amesimama na kujaribu kumove

But before hapo huo muda wote ambao alikuwa anaangalia taarifa ya Habari hakuwa na Cardiac ila alikuwa na Malaria
 
Hivi cardiac arrest huwa mgonjwa analazwa hospitali, anapiga stori na wanaomtembelea wee ndipo inamuua? Hapa kuna walakini. Itoshe tu kusema RIP Mkapa. Mambo mengine wanafamilia waendelee kuyafanya siri yao, wasiingie kwenye mtego wa kutuliza uvumi unaoendelea.
We f.a.la sana
 
Sijui wataalamu, cardiac arrest ni mara moja tu, sio upate jumatano ufariki Ijumaa
Inaitwa 'heart attack' au kwa kitalaamu 'myocardial infarction'. Huwa inatokea suddenly any time anywhere na wakati mwingine bila warning symptoms. Na kama infarction ni kubwa basi kifo hutokea instantly kwani moyo husimama (cardiac arrest) pale pale. Husababishwa na blockage ya moja ya mishipa mikubwa ya moyo (coronary arteries) by an embolic thrombus.
 
Covid 19 ipo licha ya kutangaza imekwisha lakini ipo ingawa sasa imegeuka kuwa gonjwa la siri, watu wamesahau kuwa covid 19 hufanya mauaji kwa kasi endapo itamkuta mgonjwa ana maradhi mengine hasa ya moyo, kisukari na mengineyo na dalili mojawapo za covid 19 huwa ni maumivu ya mwili ambazo hata marehemu mkapa alikutwa akiwa na maumivu, ni vigumu wakubali ni covid 19 lakini watambue kuwa kila Mtanzania anaamini lake, wapo watakaoamini ya wanafamilia kama Paskal mayala, wapo watakaoamini yao acheni kila mmoja aamini ajuavyo.
 
ndammu,
Kumbuka jana yake kikwete alikuwa hospitali na marehemu wakipiga story, sidhani kama hospitali ni wajinga kuruhusu kikwete kama mkapa angekuwa na corona.
Ulimuona alipokuwa anaongea naye alikuwa mita ngapi na alijichukulia tahadhari gani. Tuyaache tuu.
 
JAMANI KWANINI TUNAPATA TABU SANA HATUWI WENYE KUELEWA?
CHANZO CHA KIFO CHA MKAPA

ALIKUJA MALAIKA WA MAUTI NA KUICHUKUA ROHO YAKE NA KUIPAISHA MBINGUNI,
NA CHANZO CHA KIFO CHANGU MIMI NA WEWE KITAKUWA HICHO HICHO.

KINACHOTAKIWA NI KUSEMA
SISI NI WA MUUMBA NA KWKE YEYE TUTAREJEA.
Hayo ni mawazo ya kipuuzi
 
Shambulio la moyo mara nyingi mtu huwa yupo kwenye coma na anakuwa chini ya uangalizi wa madaktari muda wa kuzungumza zaidi ya saa zima anatoa wapi...

Naona awamu hii shambulio la moyo ndio kimbilio..
Nachukia sana fix. Anayekupiga fix ukweli in kuwa kakudharau.
Ngoja adharauliwe Pascal Mayalla kama walivyo mdharau "wajumbe" sio mimi.
Hivi kuna ugonjwa wa aibu? Mbona ugonjwa ni ugonjwa tuu! Awamu ya 5 mmezidi fix mpaka aibu!
 
Muwe mnaelewa kwanza kabla ya kubisha. Maelezo ni kuwa aliugua malaria kwanza ndiyo akalazwa. Sasa hiyo cardial arrest ilimpata ghafla wakati amelazwa. Pengine ungehoji labda dawa au matibabu aliyopata ndiyo yalileta hiyo hali? Au ilikuwa ni coincidence tu?

Coincidence
 
Hivi yule makamo wake Dr omary yeye ndio akulazwaga ila kifo chake kilikuwa sinema kama hiki hiki Mara karudi kaingia ndani sijui ikawaje tarifa ikaja kafariki
Mkapa kafa na vingi kichwani hata nyerere alifariki dakika chache baada ya yeye kutoka wodini kumjulia hali, ukumbuke walikuwa na mvutano na nyerere juu ya ubinafusishaji wa NBC Bank na yale mashirika yaliyokuwa yakifanya vizuri kibiashara kabla ya ubinafusishaji.
 
Inaitwa 'heart attack' au kwa kitalaamu 'myocardial infarction'. Huwa inatokea suddenly any time anywhere na wakati mwingine bila warning symptoms. Na kama infarction ni kubwa basi kifo hutokea instantly kwani moyo husimama (cardiac arrest) pale pale. Husababishwa na blockage ya moja ya mishipa mikubwa ya moyo (coronary arteries) by an embolic thrombus.

Ugonjwa huu virus vyake haviwezi kutengenezwa maabara kama vya koroma?
 
Nachukia sana fix. Anayekupiga fix ukweli in kuwa kakudharau.
Ngoja adharauliwe Pascal Mayalla kama walivyo mdharau "wajumbe" sio mimi.
Hivi kuna ugonjwa wa aibu? Mbona ugonjwa ni ugonjwa tuu! Awamu ya 5 mmezidi fix mpaka aibu!
Awamu ya viwanda eti covid 19 kwao ni Aibu wakati kule Burundi imekula Rais mstaafu hakuna aliyeficha siri
 
Back
Top Bottom