Kumbe sababu ya kifo cha Mkapa ni Cardiac Arrest. Asante sana mwanafamilia William Erio kumaliza sintofahamu hii

Kumbe sababu ya kifo cha Mkapa ni Cardiac Arrest. Asante sana mwanafamilia William Erio kumaliza sintofahamu hii

Hawa hawajui cardiac arrest. Hiyo kitu mtu mnakula nae. Ghafla mwenzenu anawaacha.
Watanzania bibie tumejenga utamaduni wa hovyo kweli kweli when informed by the family I don’t see any reason not to believe . Kila issue ni kupinga imagine hii issue mtu unapinga just because una uwezo wa kujificha nyuma ya keyboard
 
Sijui wataalamu, cardiac arrest ni mara moja tu, sio upate jumatano ufariki Ijumaa

Mbili, issue cardiac nilitegemea angepelekwa Hospitali yetu ya mabingwa wa moyo pale Jakaya Kikwete Cardiac Institute na sio Hospitali Mzna

Tungeacha tu kujadili tumzike Mzee wetu tuendelee na mengine maana tunazidi kuleta mkanganyiko
Acha ushoga basi,

Kasema alikuwa anaumwa malaria ndo maana ya kuwa hospital....huo ugonjwa wa heart attack imetokea ghafla anataka kunyanyuka\Kusimama ,acheni vimaneno vya kidada basi siyo kila kitu ushabiki.,

Wewe njaa mayalla toka siku ile ulianza wew kuleta hizi hoja acha unafiki..
 
Tupumzishe kwanza mambo ni mengi kesho tunaenda kumpokea Makamo Mwenyekiti wa Chadema hivyo tunayo kazi ya kufuatilia ujio huu na kujua nani mchokozi.
 
Ni kweli kiongozi. Tumeona hata Rais Magufuli na mkewe Janet wakimkumbatia mama Mkapa tena akiwa analia kwelikweli. Ingekuwa ni Corona wasingeruhusu hata wagusane. Tuache majungu!

Queen Esther
Yani mnaopoteza muda kubishna na haya mabavicha nawashangaa.
 
Umeona watu wanavyojiachia? Sijui lakini naamini ingekuwa Corona tahadhari ingechukuliwa. Kingine, kumbuka Mkapa alikuwa 82 yo, Mungu alimpa maisha marefu tu, wengi miaka hii tunakata kamba 30s, 40s na 50s.
Hivi hospital gani siku hizi inapima corona?! I mean kama mtu anahisi ana dalili za korona anaweza kucheki wapi
 
Mwanafamilia ameshaeleza sababu ya kifo cha Mzee Wetu na Watanzania walio wengi tumemuelewa.

Wachache ambao wataendelea kuamini yale wanayoamini kuhusu sababu za kifo cha Mzee Wetu tofauti na maelezo ya mwanafamilia, tunawasihi waendelee na imani hiyo hiyo ila kimya kimya. Maana Dola ipo macho na tuna sheria ya mitandao.
 
Wasomaji kabla ya kuchangia, jaribu kujua tofauti kati ya cardiac arrest na cardiac (heart) attack. Taarifa inayoongelewa hapa haisemi Mkapa amekufa kwa heart attack. Msitake kuongeza maneno ambayo hayakusemwa na Erio na kwa hiyo hayapo kwenye death certificate ya Mkapa.

Mkuu kama hufahamu kuhusu Cardiac Arrest ni bora ujifunze tu kabla ya kuandika ulichosema..

Moja ya sababu kuu ya Cardiac Arrest ni Heart Attack ambayo nayo husababishwa na ugonjwa wa moyo uitwao Coronary Heart Disease.

Heart Attack na Cardiac Arrest are not the same.

Mimi nimejifunza masuala ya kutoa huduma ya kwanza ambayo ni sehemu ya kozi maalum ndefu nilipokuwa chuo fulani hivi, suala la cardiac arrest linaweza kudhibitiwa.

Mtu anapopata cardiac Arrest anakuwa amepoteza fahamu na hawezi kusikia chochote yaani "unresponsive".

Kisha mgonjwa anashindwa kupumua uzuri yaani anakuwa apumua kwa shida na kutoa sauti ndogo sana huitwa "gasping noise"

Sasa kama ni hospitali ya maana mgonjwa anakuwa amewekewa kifaa maalum cha kutoa alarm au "panick alarm" ili kuwaita madaktari au manesi ambao wataona taa ya njano ikiashiria kuwa chumba fulani kuna shida.

Sasa hapo manesi na madaktari watakwenda kwenye chumba cha mgonjwa wakiwa na chombo chaitwa "Defibrillator" ili kumfanyia mgonjwa kitu chaitwa CPR yaani "cardiopulmonary Resuscitation" .

Wagonjwa wengi hufariki kwa Cardiac Arrest kutokana na kukosekana miundombinu mizuri ya kihospitali na pia kukosa hivyo vifaa nilivyovitaja hapo juu kutokana na kugharimu mamilioni ya fedha kuwa navyo.

Pia huweza kuwepo manesi au madkatari ambao kufanya CPR inaweza kuwa mgogoro kutokana na hali ya mgonjwa.

Hivyo ukilazwa hospitali isiyojulikana na ukapatwa na tatizo hilo la cardiac Arrest basi huwa shida.

Naomba niishie hapo.

RIP mzee Ben Mkapa.
 
Nawaza tu kuhusu mataifa menginee ambapo tulimwambafai kuwa hakun Corona ila sas hata kama mkapa kaf kwa Cardinal arrest kam asemavyo mwanafamiliaa Ni bas kuwaa mabeberu watasema tu kuwa Ni Corona imemtafuna rais mstaahafu kwa vile chanzo cha kifo kinaleta utata Mara wengine waseme tumbo Mara typhod kwa vile malaria inashabiana a Sana na typhod duh kwa kweli kifo hiki imeacha maswal yasiona majibu
 
Back
Top Bottom