Kumbe SACP Amini Said Mahamba Shahidi Kesi ya LISSU ni Marehemu, alikufa 2021, Mke wake aeleza Kila kitu

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Wakuu kumbe hawa Jamhuri genge la Wambura, Muliro, MAFWELE siyo watu wazuri sana.

Huyu shahidi ambaye majuzi walitaka kumuongezea ushahidi mpaka wamekata Rufaa ni MAREHEMU.

Mke wake anasema JAMHURI UKOME KUMPA MAUMIVU YA HISIA, IMUACHE MUME WAKE APUMZIKE KWA AMANI, MKE ASEMA ATAISHTAKI JAMHURI MAHAKAMANI.

Mungu anazidi kukusumbua Samia na Genge lake.

KUMBE NDO MAANA WAKAJA NA LILE LISHERIA LA KUFICHA MASHAHIDI.
20260228_112453.jpg
 
Wakuu kumbe Hawa ******* Jamhuri ,Genge la Wambura, Muliro, MAFWELE ni wapuuzi sanaa.

Huyu Shahidi ambaye majuzi walitaka kumuongezea Ushahidi mpaka wamekata Rufaa , ni MAREHEMU.

Mke wake anasema JAMHURI UKOME KUMPA MAUMIVU YA HISIA, IMUACHE MUME WAKE APUMZIKE KWA AMANI, MKE ASEMA ATAISHTAKI JAMHURI MAHAKAMANI.

Mungu anazidi kukusumbua Samia na Genge lake

KUMBE NDO MAANA WAKAJA NA LILE LISHERIA
LA KUFICHA MASHAHIDI .
Marehemu shahidi hii kali Sana😀😀😀😀
 
Kama wana uthubutu wa ku backdate tarehe za magazeti ya serikali, hawashindwi kufanya upuuzi wowote ule hawa ndezi.
 
Wakuu kumbe Hawa ******* Jamhuri ,Genge la Wambura, Muliro, MAFWELE ni wapuuzi sanaa.

Huyu Shahidi ambaye majuzi walitaka kumuongezea Ushahidi mpaka wamekata Rufaa , ni MAREHEMU.

Mke wake anasema JAMHURI UKOME KUMPA MAUMIVU YA HISIA, IMUACHE MUME WAKE APUMZIKE KWA AMANI, MKE ASEMA ATAISHTAKI JAMHURI MAHAKAMANI.

Mungu anazidi kukusumbua Samia na Genge lake

KUMBE NDO MAANA WAKAJA NA LILE LISHERIA
LA KUFICHA MASHAHIDI .
Unfathomable! How is this even possible?

Mazafaka Katuga alisema shahidi ataongeza ushahidi uliotokana na upelelezi wake wa matukio ya wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu. Kama shahidi ni marehemu tangu 2021, ina maana:

✍️Alifufuka kabla ya October 2025 akatoa statement ya ushahidi wake wa kwanza kisha akarudi zake kaburini?

✍️Alifufuka tena immediately baada ya Uchaguzi Mkuu akapeleleza yaliyojili wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu na kwamba sasa yuko tayari kuongeza huo ushahidi wake mpya?
 
Dah!

Mkuu 'Carlos', sasa mada ya namna hii ukiiacha inaelea namna hii, kweli huku ni sawa, na unaona ni haki unayowatendea wasomaji wako kweli?

Ushahidi uko wapi, hata wa kimazingira tu!

Tuamini tu, ulivyosikia wewe, bila hata ya kutuonyesha umesikia wapi taarifa nzito kama hii?
 
Unfathomable! How is this even possible?

Mazafaka Katuga alisema shahidi ataongeza ushahidi uliotokana na upelelezi wake wa matukio ya wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu. Kama shahidi ni marehemu tangu 2021, ina maana:

✍️Alifufuka kabla ya October 2025 akatoa statement ya ushahidi wake wa kwanza kisha akarudi zake kaburini?

✍️Alifufuka tena immediately baada ya Uchaguzi Mkuu akapeleleza yaliyojili wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu na kwamba sasa yuko tayari kuongeza huo ushahidi wake mpya?
Tanzania is under a state of incredulity!

A really good writer can conjure up some block buster script movie about the goings on of this shit...e republic.
 
CCM laana, yaani wanafufua hadi maiti ipande kizimbani kisa madaraka aisee

Tanganyika yangu kwishaaaa maskini...ipo mikononi mwa ma firauni.
Hapana.
Tanganyika kamwe haiwezi kuwa "Kwiiishaa"!
Tanganyika Mpya yenye matumaini tele ndiyo kwanza inachipuka.
 
Hii taarifa afikishiwe Mh. Lissu atajua jinsi ya kuwakaanga ubaoni.

Watawala haramu hawana aibu yoyote, wanatenda maovu yaliyopotiliza
 
Back
Top Bottom