Kumbe SACP Amini Said Mahamba Shahidi Kesi ya LISSU ni Marehemu, alikufa 2021, Mke wake aeleza Kila kitu

Kumbe SACP Amini Said Mahamba Shahidi Kesi ya LISSU ni Marehemu, alikufa 2021, Mke wake aeleza Kila kitu

Wakuu kumbe Hawa ******* Jamhuri ,Genge la Wambura, Muliro, MAFWELE ni wapuuzi sanaa.



Huyu Shahidi ambaye majuzi walitaka kumuongezea Ushahidi mpaka wamekata Rufaa , ni MAREHEMU.



Mke wake anasema JAMHURI UKOME KUMPA MAUMIVU YA HISIA, IMUACHE MUME WAKE APUMZIKE KWA AMANI, MKE ASEMA ATAISHTAKI JAMHURI MAHAKAMANI.







Mungu anazidi kukusumbua Samia na Genge lake







KUMBE NDO MAANA WAKAJA NA LILE LISHERIA
LA KUFICHA MASHAHIDI .
Hii sasa kali, au ni maagizo ya Mganga?
 
Mkuu!CCM wanaweza yote...
Hata kwenye Bunge Maalumu la Katiba Wabunge wengi tu wa kutokea Zanzibar walifufuliwa..wakapiga kura upande wa CCM ..kisha wakarejea zao kuzimu.

Mzee Balal wa B.O.T mara tu baada ya kuzikwa alianza Tweet Moja kwa Moja kutokea huko kuzimu..
 
Back
Top Bottom