Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Marehemu shahidi hii kali Sana😀😀😀😀Wakuu kumbe Hawa ******* Jamhuri ,Genge la Wambura, Muliro, MAFWELE ni wapuuzi sanaa.
Huyu Shahidi ambaye majuzi walitaka kumuongezea Ushahidi mpaka wamekata Rufaa , ni MAREHEMU.
Mke wake anasema JAMHURI UKOME KUMPA MAUMIVU YA HISIA, IMUACHE MUME WAKE APUMZIKE KWA AMANI, MKE ASEMA ATAISHTAKI JAMHURI MAHAKAMANI.
Mungu anazidi kukusumbua Samia na Genge lake
KUMBE NDO MAANA WAKAJA NA LILE LISHERIA
LA KUFICHA MASHAHIDI .
Watasingizia majina yamefanana .. Sasa hivi baada ya kusoma hapa watakimbilia RITA kufanya yao😂
Amin Mahamba alimaliza kidato cha nne katika Sekondari ya Malangali wilaya ya Mufindi mwaka 1975! Kwa vyo vyote vile hata kama bado yu hai lakini lazima alikwisha staafu katika utumishi wa umma kwa umri kuwa zaidi ya miaka 60!
Unfathomable! How is this even possible?Wakuu kumbe Hawa ******* Jamhuri ,Genge la Wambura, Muliro, MAFWELE ni wapuuzi sanaa.
Huyu Shahidi ambaye majuzi walitaka kumuongezea Ushahidi mpaka wamekata Rufaa , ni MAREHEMU.
Mke wake anasema JAMHURI UKOME KUMPA MAUMIVU YA HISIA, IMUACHE MUME WAKE APUMZIKE KWA AMANI, MKE ASEMA ATAISHTAKI JAMHURI MAHAKAMANI.
Mungu anazidi kukusumbua Samia na Genge lake
KUMBE NDO MAANA WAKAJA NA LILE LISHERIA
LA KUFICHA MASHAHIDI .
Dah!Wakuu kumbe Hawa ******* Jamhuri ,Genge la Wambura, Muliro, MAFWELE ni wapuuzi sanaa.
Huyu Shahidi ambaye majuzi walitaka kumuongezea Ushahidi mpaka wamekata Rufaa , ni MAREHEMU.
Mke wake anasema JAMHURI UKOME KUMPA MAUMIVU YA HISIA, IMUACHE MUME WAKE APUMZIKE KWA AMANI, MKE ASEMA ATAISHTAKI JAMHURI MAHAKAMANI.
Mungu anazidi kukusumbua Samia na Genge lake
KUMBE NDO MAANA WAKAJA NA LILE LISHERIA
LA KUFICHA MASHAHIDI .
Tanzania is under a state of incredulity!Unfathomable! How is this even possible?
Mazafaka Katuga alisema shahidi ataongeza ushahidi uliotokana na upelelezi wake wa matukio ya wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu. Kama shahidi ni marehemu tangu 2021, ina maana:
✍️Alifufuka kabla ya October 2025 akatoa statement ya ushahidi wake wa kwanza kisha akarudi zake kaburini?
✍️Alifufuka tena immediately baada ya Uchaguzi Mkuu akapeleleza yaliyojili wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu na kwamba sasa yuko tayari kuongeza huo ushahidi wake mpya?
Hapana.CCM laana, yaani wanafufua hadi maiti ipande kizimbani kisa madaraka aisee
Tanganyika yangu kwishaaaa maskini...ipo mikononi mwa ma firauni.