Kumbe SACP Amini Said Mahamba Shahidi Kesi ya LISSU ni Marehemu, alikufa 2021, Mke wake aeleza Kila kitu

Hii sasa kali, au ni maagizo ya Mganga?
 
Mkuu!CCM wanaweza yote...
Hata kwenye Bunge Maalumu la Katiba Wabunge wengi tu wa kutokea Zanzibar walifufuliwa..wakapiga kura upande wa CCM ..kisha wakarejea zao kuzimu.

Mzee Balal wa B.O.T mara tu baada ya kuzikwa alianza Tweet Moja kwa Moja kutokea huko kuzimu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…