Kumbe Salama Jabir ni mzuri hivi!!

Narudia kusema. Hii tabia ya kuchukua picha za watu kutoka kwenye mitandao bila ridhaa yao na kuzileta hapa JF ni kosa kwa mujibu wa sheria za mtandao. Ni kosa la jinai. Hii tabia ikome mara moja.
 
Salama huwa ana sura nzuri hata akiweka yale majogoo yake kichwani, kasura huwa kanaonekana tu.
 
Siwafichi huyu dada nilikuwa namuona kituko.ila mtoto wangu wa kike kila anavyokuwa anazidi kufanana na salama kuanzia sura hadi tabia.yaani sura ni kopiraiti kama salama angekuwa mwanaume ningehisi kacheza foul.ila poa acha tu mtoto awe jike dume kuliko aje kuumizwa hisia na mapenzi bure!
 

Mkontroo mapema huyo mwanako
 
Hapana ingekuwa wa kiume anafanya mambo y kike kweli ningeleta vurumai.ila wakike kufanya ubasha km salama its ok tena tamsapoti

Haaaaaaaaa wewe! utamuharibu ujue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…