Mi mwenyewe hapa nipo hoi!Ni mzuri sana aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi mwenyewe hapa nipo hoi!Ni mzuri sana aisee
Acha habari zako bhana...Mwanamke tabia jmn sura hata mbuz anayo
Sio sometimes bhana... kwanza unakuwa na mtoto mzuri na hayo mengine mna-handle taratibu!Sometimes
ni mzuri kweli shida ni jinsi anavyojifanya kuwa mwanaumeAchilia mbali tabia n.k Huyu akiacha ukichaa wake kumbe mke mzuri tu cheki kasura kalibotokelezea kikike zaidi!!
View attachment 356548
Siwafichi huyu dada nilikuwa namuona kituko.ila mtoto wangu wa kike kila anavyokuwa anazidi kufanana na salama kuanzia sura hadi tabia.yaani sura ni kopiraiti kama salama angekuwa mwanaume ningehisi kacheza foul.ila poa acha tu mtoto awe jike dume kuliko aje kuumizwa hisia na mapenzi bure!
Hapana ingekuwa wa kiume anafanya mambo y kike kweli ningeleta vurumai.ila wakike kufanya ubasha km salama its ok tena tamsapotiMkontroo mapema huyo mwanako