Sura kwanza tabia tutarekebishanaMwanamke tabia jmn sura hata mbuz anayo
Hahaaa yaa yupo poa sema msela sana cjui kweny GAME anakuwajeKhakhakhaaaaaa kama hapa ila kidizain kana guuuu bia flani ila tatizo kanyadundo
Kwa kweli nasikia kanasagana haka kabibieKazuri mbona sema kanajiharibu kenyewe
Mtoto lainiii sana!Halafu anaonekana mtamu sana tu hebu cheki hapo!!
Hahaha hata ajifanyeje ukweli ni kwamba yeye ni she na anaingiziwa vilevile
Maneno kuntu!Mwanamke tabia jmn sura hata mbuz anayo
Kumbe sio yake?Ata wewe ni mzuri.....ila kame hiyo avatary ni yako
Ni picha za celebriti.. Kuna ubaya??Narudia kusema. Hii tabia ya kuchukua picha za watu kutoka kwenye mitandao bila ridhaa yao na kuzileta hapa JF ni kosa kwa mujibu wa sheria za mtandao. Ni kosa la jinai. Hii tabia ikome mara moja.
Tabia kijijini mjini suraMwanamke tabia jmn sura hata mbuz anayo
Siwafichi huyu dada nilikuwa namuona kituko.ila mtoto wangu wa kike kila anavyokuwa anazidi kufanana na salama kuanzia sura hadi tabia.yaani sura ni kopiraiti kama salama angekuwa mwanaume ningehisi kacheza foul.ila poa acha tu mtoto awe jike dume kuliko aje kuumizwa hisia na mapenzi bure!
Mtoto bado mdogo we usije kumpa hisia za kike mapemaNaomba namba ya mwanao mama yangu
Ila hata wewe una kasura kazuri sana kakike kike ukitulia unaonekana ni bonge la mkeee!!