Kumbe Salama Jabir ni mzuri hivi!!

Kumbe Salama Jabir ni mzuri hivi!!

Attachments

  • 1466001507440.jpg
    1466001507440.jpg
    81.4 KB · Views: 243
  • 1466001539646.jpg
    1466001539646.jpg
    8.7 KB · Views: 176
  • 1466001567676.jpg
    1466001567676.jpg
    5.8 KB · Views: 214
Mwez mtukufu ukiisha ataanza kuvaa vikaptula vake

Khakhakhaaaaaa kama hapa ila kidizain kana guuuu bia flani ila tatizo kanyadundo
 

Attachments

  • 1466001809980.jpg
    1466001809980.jpg
    65.1 KB · Views: 160
Usidanganywe na kasura hako.
Mwanamke ni zaidi ya sura. Shauri yako.
 
Narudia kusema. Hii tabia ya kuchukua picha za watu kutoka kwenye mitandao bila ridhaa yao na kuzileta hapa JF ni kosa kwa mujibu wa sheria za mtandao. Ni kosa la jinai. Hii tabia ikome mara moja.
Ni picha za celebriti.. Kuna ubaya??
 
Siwafichi huyu dada nilikuwa namuona kituko.ila mtoto wangu wa kike kila anavyokuwa anazidi kufanana na salama kuanzia sura hadi tabia.yaani sura ni kopiraiti kama salama angekuwa mwanaume ningehisi kacheza foul.ila poa acha tu mtoto awe jike dume kuliko aje kuumizwa hisia na mapenzi bure!

Naomba namba ya mwanao mama yangu
 
Back
Top Bottom