KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,794
- 9,075
Namtafutia wapi kwa mfanoMtafute tu kama unamuweza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namtafutia wapi kwa mfanoMtafute tu kama unamuweza
hakufikii weweAchilia mbali tabia n.k Huyu akiacha ukichaa wake kumbe mke mzuri tu cheki kasura kalibotokelezea kikike zaidi!!
View attachment 356548
utafikiri kama sie yeye yule...yuko vizuri sanaHapo hata kuvutia anavutia kwakweli!
Mkuu anaweza kukuaibisha mbele ya camera nataka nijue anapo tumia maishaAnapoishi, anapofanyia kazi, napengineko kwenye mihangaiko na mishe zake
awe anavaa kama hivyo bhana kuliko anavyovaaga cku zngne yaan simtofautishi na wale wanaoficha sukari maana anatufichia uzuri wakeee...................Ndomana namimi nimeshangaa kweli
Dah.Ila hata wewe una kasura kazuri sana kakike kike ukitulia unaonekana ni bonge la mkeee!!