Kumbe Saudi Arabia ni kinyume cha sheria kushuhudia Ukristo/Injili ili kuwabadilisha watu dini!

Kumbe Saudi Arabia ni kinyume cha sheria kushuhudia Ukristo/Injili ili kuwabadilisha watu dini!

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Screenshot_20250408-215538_X.jpg
 
Kilicho katazwa ni Ukristo tu dini nyingine zinaruhusiwa?
Alafu unasemaje wanakataza kueneza injili hali ya kuwa injili ipo ndani ya quruan?
 
Kilicho katazwa ni Ukristo tu dini nyingine zinaruhusiwa?
Alafu unasemaje wanakataza kueneza injili hali ya kuwa injili ipo ndani ya quruan?
Injili ni nini??
 
Dah hi n Sawa na kusema upeleke kitimoto msikitini ila haina maana Waislamu hawali mnofu 😹
 
Hao waarabu ni bogus tu hawana akili kabisa, nani aliwadanganya kwamba dini inamwingiza mtu mbinguni. Bure kabisa.
 
Ila Dini ya Mashetani ya HALLOWEEN na Sherehe zake zinaruhusiwa:
Angalia Haloween ceremony in Saudi Arabia ujiridhishe:
Ni Demonic Cerebration:
Watu wanajikatakata damu chapachapa:
 
Kitabu Allah anachodai ni chake pia hahahaha kichekesho Injil ni jina la kigiriki wakati Allah anajua Kiarabu tu
Injili haipo kwenye Quran! Torah ndio ipo kumbuka kabla ya Ukristo Uyahudi ulikuwapo na kabla ya Uislam, Uyahudi na Ukristo ulikuwapo tayari!
 
Back
Top Bottom