Kumbe serikali kupitia jeshi la polisi waliwazuia CHADEMA kama chama kuingia Katesh - Hanang kufariji wahanga wa maafa na kutoa misaada?

Polisi badala ya kufuata Police general order wanyewe wanafuata
Ccm general order
Na ndiyo tatizo la kuchagua Makada wa ccm kuwa viongozi katika jeshi la polisi.
 
Tatizo lako luka unatumia makalio kufikiri.
 
Polisi badala ya kufuata Police general order wanyewe wanafuata
Ccm general order
Na ndiyo tatizo la kuchagua Makada wa ccm kuwa viongozi katika jeshi la polisi.
Mkuu hivi umesahau kuwa hata DCI haijui PGO sasa itakuwa hawa wabebeba mitutu. Sisi hatuna jeshi la polisi bali kuna majambazi yanayovaa uniform.
 

Huu ni ushindi mkubwa kwa Chadema wameonyesha wamekomaa kisiasa wana nia njema tofauti na CCM wanaoigiza huko na kufanya kampeni wakati wao ndio serikali walipaswa kuwajibishwa toka siku ya kwanza.
 

CCM kwa kukumbatia mashetani mengi ndani ya chama na kuyapa nafasi ya kufanya maamuzi, inakifanya Chama Cha Mapinduzi kuwa ni chama cha kishetani.
 
Hivi huyu ana wadhifa gani CCM/serikalini?
Sidhani kama ana wadhifa wowote ila kwa sababu CCM huwa inapenda watu wajinga waropoka hovyo, Mwashambwa ataonekana ni mtetezi wa cha.
 
You wantend to take advantage. Nadhan kuingilia ratiba ya mkuu ni uchokoz wa waz waz.kama abawaacha nakataa.

Nadhani una kiwango kidogo sana cha uelewa. Kama unashindwa hata kuandika sentensi moja ya Kiswahili iliyonyoka, utakuwa na uwezo wa kuelewa hoja inayojadiliwa?
 
Hii ni aibu kwa walio madarakani... Poleni wahanga
 
Una maanisha rais akienda msibani au maafa watu wasiende kwa kuwa rais kaenda?? Mbona maafa mengine mahala pengine hatukuona watu wakizuiliwa kwa sababu ya rais. Msimsingizie mama wa watu.
Kwenda siyo tatizo... Lakini asilimia kubwa ya walioenda walikuwa busy na photo shoots!
Fuatilia
 

We, punguani huelewi hata unachoandika. Wewe ni mbumbumbu na mjinga kupindukia. Huna hata akili za kutofatisha matukio. Kwa akili ndogo uliyo nayo unaona maafa ni kama mkutano wa kampeni. Wewe ni punguani hasa, tena unayejivunia upunguani wako.

Msiba hauna mwaliko wala hauna pingamizi la nani ahudhurie na nani asihudhurie. Ahudhurie lini na asihudhurie lini. Mmekosa akili hadi maarifa.

Huu upumbavu uliouweka hapa, kama ungekuwa na mashiko, unadhani kwa nini wachache wenye akili waliamua kuwabembeleza hao CHADEMA warudi na kuendelea na safari yao ya kuwafariji waliokumbwa na hili janga?

Ndiyo maana unabakia siku zote unaweka kanamba kako ka simu, lakini kila mwenye akili anakupuuza. Unaichafua CCM na Rais, kiasi cha Rais aonekane anatetewa na watu wasio na akili wala upeo.
 
Polisi badala ya kufuata Police general order wanyewe wanafuata
Ccm general order
Na ndiyo tatizo la kuchagua Makada wa ccm kuwa viongozi katika jeshi la polisi.

Tatizo lipo kwa Rais na CCM yake. Siku zote CCM inapenda watu wasio na akili lakini wenye uwezo wa kusifu na unafiki.

Siyo kweli polisi wote hawana akili lakini kwa sababu CCM inapenda sana watu wasio na akili, wanafiki wenye uwezo tu wa kusifu, basi huwapa madaraka makubwa wale polisi wajinga wajinga ili wawatumie kama wanavyotaka.
 
Mkuu umesahau kuweka namba ya simu hapo mwisho
 
Akili yako ni ndogo huwezi kuyaelewa haya mambo. Baada ya Rais Samia kugundua kuwa wahuni ndani ya chama wamemzunguka na kuzuia viongozi wa Chadema kushiriki kwenye haya maafa, aliamrisha kusitisha mara moja hilo katazo. Akina Mbowe tayari walishahamua kusitisha hilo zoezi. Iliwalazimu viongozi waandamizi wa serikali na jeshi la polis wawasihi wasisitishe bali waendelee kama walivyopanga kwasababu itakuwa ni aibu kwa Serikali ya Samia.

Unaposhabikia siasa bila kutumia akili matokeo yake aibu itakuwa juu yako. Kosa la kina Mbowe ni nini? Maafa yametokea, wao hawana vyombo wala budget ya maafa, mlinataka wafanyeje? Kuna ubaya gani wao kuwepo sambamba na uwepo wa Rais? Ushamba tu wa siasa na kutotumia akili. Nina hakika haya yalipangwa na watu wenye akili ndogo kama zako, Rais mwenyewe hakujua.
 
Nchi inaendeshwa kwa maagizo na siyo Katiba na sheria ni anguko kubwa kwa utawala bora.

Nchi inaendeshwa kama kijiwe vile. Zinatoka amri za kipuuzi kwa kuridhisha nafsi za watawala bila kujali athari zake.

Upuuzi umewajaa wenye mamlaka wanadhani sisi wote ni wapumbavu kama wao
 
Kijana wa hovyo katika kilele chako😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…