Kumbe serikali kupitia jeshi la polisi waliwazuia CHADEMA kama chama kuingia Katesh - Hanang kufariji wahanga wa maafa na kutoa misaada?

Kwa hili siwalaumu CCM.
POLISI HASA MARPC NI MABOGASI YASIYOJIELEWA YANASIMAMIA NINI.
Hivi hao police wanakaa wapi? Au ndio hawa tunaokunywa nao kahawa mitaani kwetu?
 
Hao Mapolisi walipokea maagizo kutoka juu swali la kujiuliza ni nani huko juu?
Polisi wenyewe ndiyo wajinga na wapumbavu...

Sheria inayoongoza utendaji kazi wa polisi wa siku Kwa siku zipo, lakini hawazifuati badala yake wanafuata maagizo na maelekezo ya viongozi wa kisiasa yenye maslahi ya wanasiasa hao huku wakitupa sheria na miongozo ya utendaji kazi wao pembeni...

Kama huo sio ujinga na upumbavu wa jeshi hili, tuite ni kitu gani eti?

Kwa mwenendo huu wa jeshi hili, Wala sio hata kufikiria kuwa walipewa order na kiongozi fulani huko juu. Hawa wanaweza kupewa order iliyo nje ya sheria Police General Orders (PGOs) hata na balozi wa nyumba kumi ili mradi ni WA CCM na wakaifuata na kuitekeleza..!
 
Naomba kujua ni msaada gani chadema walioutoa huko Hanang

CC Erythrocyte
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…