Inanambo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 4,039
- 2,840
Huwa naona tuu ni kipindi Cha kutoa Burudani siyo halisi. Haiwezekani kupata mke/ Mume kwenye Show ya Tv.Mr right ni show inaonyeshwa startimes na wasichana wanachaguliwa na wanaume single ili waolewe.
Ila baada ya yote Kuna huyu mmaza alikuwa huko majuzi hapa anahojiwa anadai yupo single na majuzi hapa alipata mchumba hapo Mr right na alidai wanaoana Sasa inakuwaje ni single tena naalikuwa anaolewa? Na mme akakiri kuwa anamuoa baby nai?