Kumbe siku hizi ukitaka ku sponsor post kuna kulipia VAT? Imeanza lini hii?

Toka zamani upo,
Lipa kodi kwa maendeleo ya taifa lako kijana, ni kawaida tu,
Makampuni hayawez kuwa yanatengeneza mpunga Bongo bila kodi
Zamani haikuwepo. Imeanza kama ina miezi mitatu hadi minne.
 
Kwani kodi si alitakiwa alipe huyo mwenye kampuni ya matangazo au me ndy sijaelewa? Maan me naboost tangazo bado xijauza bidhaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…