Kumbe Simba haikuanzishwa kama wale wengine

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
2,536
Reaction score
4,621
Hapo vip!!
Naomba kuwasilisha
Kumbe Simba haikuanzishwa na malofa kama wale wengine.

Screenshot_20241010-153653.jpg
 
Hapo vip!!
Naomba kuwasilisha

Nb.adm naomba usibadilishe kichwa habari.View attachment 3121076
Haujui historia ya Simba wewe Simba imeanzishwa na Yanga walipokua Yanga wakajitoa wakaenda kuungana na Waarabu wakaunda timu inaitwa Queens, mbumbumbu baadae wakabadiri jina kutoka Queens kwenda Sunderland, mbumbumbu baada ya Sunderland wakabadiri tena wakaanza kujiita Simba ila walitoka Yanga, na Yanga haijawahi kubadilishwa ovyoovyo majina Jina limebakia vile vile tangu ianzishwe
 
Hamna sio kweli...wewe unaweza kuumzaa baba ako?vitabu vimeeleza yanga imeanzishwa na malofa alafu unakuja kuleta hadithi hapa...Kwanza nikueleweshe tu we lofa kabla ya mwaka 1961 kulikuwa hamna nchi inayoitwa Tanzania,wala ligi,wala Simba na yanga ...hizo timu unazoongelea ni za watumwa..Timu za Tanzania zimeanza mwaka 1961 lofa wewe
 
Haujui historia ya Simba wewe Simba imeanzishwa na Yanga walipokua Yanga wakajitoa wakaenda kuungana na Waarabu wakaunda timu inaitwa Queens, mbumbumbu baadae wakabadiri jina kutoka Queens kwenda Sunderland, mbumbumbu baada ya Sunderland wakabadiri tena wakaanza kujiita Simba ila walitoka Yanga, na Yanga haijawahi kubadilishwa ovyoovyo majina Jina limebakia vile vile tangu ianzishwe
kijana hajawahi kufatilia historia huyo hapa mtabishana mpk vimishipa viume achana nao wajitape halafu shughuli tunamaliza tarehe 19 wanaanza kushikana mashati nakuoigana ngwara nani mchawi...😂
 
Hamna sio kweli...wewe unaweza kuumzaa baba ako?
Simba imetokea Yanga mbumbumbu wewe walijitenga mwaka 1936 wakaenda kuungana na Waarabu wakaunda timu inaitwa Queens (1936-1948), wakabadiri tena wakajiita Eagles yaan Tai na hio ni baada ya kutaniwa na Yanga kwa jina wanalolitumia la klabu yao ya 'Queens' wakiwa wanawaona km warembo fulani, wakabadiri tena wakajiita Dar Sunderland, wakabadiri tena mwaka 1971 wakajiita Simba kwa ushauri wa Hayati Abedi Karume kua Sunderland limekaa kikoloni kwanini wasitumie majina ya kwao ya kiafrika ndio likaja jina la klabu kuitwa Simba na Karume alihudhuria maana yeye ndie alieshauri jina libadilishwe kwa hio unaweza sema muasisi wa jina la klabu ya Simba kuitwa Simba ni yeye Japo wenyewe hawasemi hivyo

Soma hapa wameandika second to who?

Hizo timu mwaka 1936 na 1948 zilikuwa zinacheza ligi gani?na katika nchi inayoongozwa na rais gani?

upuuuzi mtupu..
Historia ya Tanzania na mambo yake yote imeanza mwaka 1961..period
 
upuuuzi mtu
Usituletee timu za watumwa hapa...nenda zako na hizo story zako mfu

Hapo juu kwenye hiyo historia hakuna mwanayanga hapo..lofa wewe
 
Haujui historia ya Simba wewe Simba imeanzishwa na Yanga walipokua Yanga wakajitoa wakaenda kuungana na Waarabu wakaunda timu inaitwa Queens, mbumbumbu baadae wakabadiri jina kutoka Queens kwenda Sunderland, mbumbumbu baada ya Sunderland wakabadiri tena wakaanza kujiita Simba ila walitoka Yanga, na Yanga haijawahi kubadilishwa ovyoovyo majina Jina limebakia vile vile tangu ianzishwe
Hiyo inaelekea unaifahamu wewe peke yako??

Yaani kwamba Simba imeanzishwa na Yanga??
 
Mtoa mada hivi unajua Mzee karume alikuwa shabiki ndaki ndaki wa timu Gani? Nijibu kwanza nipime kiwango chako Cha Akili.
 
Back
Top Bottom