Kumbe Simba haikuanzishwa kama wale wengine

Kumbe Simba haikuanzishwa kama wale wengine

Hoja ilikuwa Queens kutumika ktk timu ya wanaume

Sasa hivi hoja imebadilika kuwa Queens nineno la kikoloni

Lakini Yanga wanaitwa Youn Africans na Simba wamebakia na Simba yao

Hoja ya karume na yako tunaziwekaje katika hili?

Yalikuwa ni mawazo yake, je na wewe mawazo yako ni yapi?
Kichwa kizito kuelewa wewe hujaelewa nini hapo?
 
Kwahiyo Yanga imetokana na shida ya kufahamu au kutamka neno Young!

Asante kwa hili

Hapa ukiweka utani inakuwaje sasa? Kauli ya manara inaweza kufanyakazi katika eneo hili, au unaonaje?
Utani wa Simba na Yanga umeanza kabla wewe hujazaliwa kwa hio kauli zisikutoe ufahamu
 
Kinyesi unayo wewe inayeshabikia timu inayowakisha rangi ya mavi..njano mavi ya binadamu na kijani mavi ya binadamu na kijani mavi ya ndege..hapo lazima uwe na kinyesi kichwani
Mimi ni Simba mkuu, lakini ninachokueleza niukweli wa kihistoria, tatizo lako hukwenda shule
 
Mimi ni Simba mkuu, lakini ninachokueleza niukweli wa kihistoria, tatizo lako hukwenda shule
Msomi gani unaeye amini hadithi za Sungura na fisi...msomi anabase kwenye maelezo yenye facts na evidences...nimefanya research na ninachozungumza kwenye research yangu sijakuta timu au club iliyosajiliwa kabla ya 1961 inayoitwa Simba na yanga..bali kulikuwa na timu za watumwa..pia hakuwa na nchi inayoitwa Tanzania,wala rais wake,wala ligi ya mpira,wala baraza la michezo.......pia hakuna ushahidi wowote wa uhusiano wa uzazishwaji wa club ya Simba na mwanayanga bali ni hadidhi tu zakujipendekeza.

No research no right to speak
 
Back
Top Bottom