zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Kichwa kizito kuelewa wewe hujaelewa nini hapo?Hoja ilikuwa Queens kutumika ktk timu ya wanaume
Sasa hivi hoja imebadilika kuwa Queens nineno la kikoloni
Lakini Yanga wanaitwa Youn Africans na Simba wamebakia na Simba yao
Hoja ya karume na yako tunaziwekaje katika hili?
Yalikuwa ni mawazo yake, je na wewe mawazo yako ni yapi?