Kumbe simba ni mbovu kiasi hiki?

[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] shimba ....mnagundu sana ...mnasajili kwa kupokonya Lipuli lazima laana iwatafune
 
Nimeapa kuanzia leo sitaishabikia simba tena. Kitendo cha kutolewa katika mashindano na timu ya daraja pili kimenikera sana. Tena nimegundua haji manara ndo analeta mkosi katika timu hii.
Ndo wanaenda wakilisha nchi??
Dah!
 
Nasikia wamekata rufaaa, na tff ni ya kwao.....
 
Badala ya kujiandaa na mchezo wa leo, wao walikuwa bize na Asante Kwasi! Acha ya wakute.... na bado! Nimefurahi sana
 
Walipewa penati ya Magumashi ili wasawazishe lakini la kuvunda halina ubani.
Mo hakawii kususa mjue. Azam Federation Cup nje. Wakikosa ubingwa anasepa mchana kweupe
 
Ubingwa hawezi kuchukua simba hana timu ya ubingwa wenye ubingwa wao wapo wanakuja
 
Adui wa Simba ni sifa za Manara, hiki mnachokipata ndio stahili mpaka mtakapo acha kuifanya Yanga kuwa agenda zenu.
Mlitaka kuuaminisha umma kuwa Malinzi ndio kikwazo chenu kutwaa ubingwa wa aina yoyote ile sasa leo hii Malinzi yupo lupango akiwaachia TFF yenu iliyoongeza muda wa usajili ili mumpate Asante Kwasi kwa dhuluma mmepigwa kirahisi mno.
Mkirudisha rambirambi za Mafisango na kuacha kufoji mikataba ya wachezaji mnaweza mkapata ubingwa msimu huu.
Poleni sana ndugu zetu wa matopeni kwa kumpa ugonjwa bwana mdogo MOOOOOO
 
Mchawi mpe mtoto amlee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…