Nyamtalakyono
JF-Expert Member
- Dec 17, 2015
- 795
- 479
Nimeapa kuanzia leo sitaishabikia simba tena. Kitendo cha kutolewa katika mashindano na timu ya daraja pili kimenikera sana. Tena nimegundua haji manara ndo analeta mkosi katika timu hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usishangae Doto nae akatolewa jumapili maana kwa kuigana mhhNimeapa kuanzia leo sitaishabikia simba tena. Kitendo cha kutolewa katika mashindano na timu ya daraja pili kimenikera sana. Tena nimegundua haji manara ndo analeta mkosi katika timu hii.
Ndo wanaenda wakilisha nchi??Nimeapa kuanzia leo sitaishabikia simba tena. Kitendo cha kutolewa katika mashindano na timu ya daraja pili kimenikera sana. Tena nimegundua haji manara ndo analeta mkosi katika timu hii.
Mi siku hizi sinaga stress timu zangu zikifungwa mpaka najishangaa, nafikiri Arsenal wameniotesha sugu, nimeshazoea vichapo.duu siamini wameniharibia xmas yangu
Hahahaha pole Kwa kuota suguMi siku hizi sinaga stress timu zangu zikifungwa mpaka najishangaa, nafikiri Arsenal wameniotesha sugu, nimeshazoea vichapo.
Wana arsenal tunabidi tuchomoe misumari tuache miba maumivu ya pungueMi siku hizi sinaga stress timu zangu zikifungwa mpaka najishangaa, nafikiri Arsenal wameniotesha sugu, nimeshazoea vichapo.
Mchawi mpe mtoto amlee.Adui wa Simba ni sifa za Manara, hiki mnachokipata ndio stahili mpaka mtakapo acha kuifanya Yanga kuwa agenda zenu.
Mlitaka kuuaminisha umma kuwa Malinzi ndio kikwazo chenu kutwaa ubingwa wa aina yoyote ile sasa leo hii Malinzi yupo lupango akiwaachia TFF yenu iliyoongeza muda wa usajili ili mumpate Asante Kwasi kwa dhuluma mmepigwa kirahisi mno.
Mkirudisha rambirambi za Mafisango na kuacha kufoji mikataba ya wachezaji mnaweza mkapata ubingwa msimu huu.
Poleni sana ndugu zetu wa matopeni kwa kumpa ugonjwa bwana mdogo MOOOOOO