Kumbe simba ni mbovu kiasi hiki?

Kumbe simba ni mbovu kiasi hiki?

Usajili wa B 1.3???kuna tatizo...Omog afukuzwe...Tukutane VPL ...mwaka kesho kutwa mtakuwa wa mchangani tena..Pole mtani
 
Yusuf Mseja,
Kipa No2 wa Simba, ndiye mchezaji pekee mwenye uwezo, bidii, kipaji, kujituma, sifa, nk. za kuichezea Simba sc.
Wengine ni wazuri ila wanacheza kwa Ustar, Ubrazameni, vipasi visivyo na maana vingiii...dana dana nyingii na kurembaremba madoido yasiyo na maana, Penati inapigwa kwa kudokoa na madaha.
Kocha aondoke.
Asante John Boko ulicheza vizuri jana.

 
Adui wa Simba ni sifa za Manara, hiki mnachokipata ndio stahili mpaka mtakapo acha kuifanya Yanga kuwa agenda zenu.
Mlitaka kuuaminisha umma kuwa Malinzi ndio kikwazo chenu kutwaa ubingwa wa aina yoyote ile sasa leo hii Malinzi yupo lupango akiwaachia TFF yenu iliyoongeza muda wa usajili ili mumpate Asante Kwasi kwa dhuluma mmepigwa kirahisi mno.
Mkirudisha rambirambi za Mafisango na kuacha kufoji mikataba ya wachezaji mnaweza mkapata ubingwa msimu huu.
Poleni sana ndugu zetu wa matopeni kwa kumpa ugonjwa bwana mdogo MOOOOOO
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lambilambi ya mfisango tena kaka![emoji23] [emoji23] [emoji23] , atare
 
Back
Top Bottom