Betterhalf
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,882
- 2,560
Hujui mpira
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli mkuu Haji amekata rufaa. Tumegundua yule centre forward wao ana kadi tatu za harusi.Nasikia wamekata rufaaa, na tff ni ya kwao.....
Hujui mpira
Zimbaaa
Mkuu, umajumuisha na ya Asante Kwasi na DomingozUsajili wa B 1.3???kuna tatizo...Omog afukuzwe...Tukutane VPL ...mwaka kesho kutwa mtakuwa wa mchangani tena..Pole mtani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lambilambi ya mfisango tena kaka![emoji23] [emoji23] [emoji23] , atareAdui wa Simba ni sifa za Manara, hiki mnachokipata ndio stahili mpaka mtakapo acha kuifanya Yanga kuwa agenda zenu.
Mlitaka kuuaminisha umma kuwa Malinzi ndio kikwazo chenu kutwaa ubingwa wa aina yoyote ile sasa leo hii Malinzi yupo lupango akiwaachia TFF yenu iliyoongeza muda wa usajili ili mumpate Asante Kwasi kwa dhuluma mmepigwa kirahisi mno.
Mkirudisha rambirambi za Mafisango na kuacha kufoji mikataba ya wachezaji mnaweza mkapata ubingwa msimu huu.
Poleni sana ndugu zetu wa matopeni kwa kumpa ugonjwa bwana mdogo MOOOOOO
Mkuu, umajumuisha na ya Asante Kwasi na Domingoz