Kumbe simba ni mbovu kiasi hiki?

Usajili wa B 1.3???kuna tatizo...Omog afukuzwe...Tukutane VPL ...mwaka kesho kutwa mtakuwa wa mchangani tena..Pole mtani
 
Yusuf Mseja,
Kipa No2 wa Simba, ndiye mchezaji pekee mwenye uwezo, bidii, kipaji, kujituma, sifa, nk. za kuichezea Simba sc.
Wengine ni wazuri ila wanacheza kwa Ustar, Ubrazameni, vipasi visivyo na maana vingiii...dana dana nyingii na kurembaremba madoido yasiyo na maana, Penati inapigwa kwa kudokoa na madaha.
Kocha aondoke.
Asante John Boko ulicheza vizuri jana.

 
Usajili wa B 1.3???kuna tatizo...Omog afukuzwe...Tukutane VPL ...mwaka kesho kutwa mtakuwa wa mchangani tena..Pole mtani
Mkuu, umajumuisha na ya Asante Kwasi na Domingoz
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lambilambi ya mfisango tena kaka![emoji23] [emoji23] [emoji23] , atare
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…