Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Aiseeee........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bunduki atupe kwa pili pili una utani wewe MkuuWanaume wa Dar mbona mnasumbuka sana ?! Ngoja nikute silaha nyepesi !! Chukua pilipili yoyote ile kali, ipondeponde kisha changanya na maji iweke kwenye jagi. Ukiingiliwa na jambazi au kibaka, chukua pilipili iliyoko kwenye jagi mmwagie usoni ! Hata kama alikuwa kashika bunduki lazima aitupe !! Pale atabaki anafikicha macho na hapo utamkamata kirahisi kisha utamfanya chochote utakacho. Nimekamata wawili kwa mtindo huo!!
YesYenye mlio mkubwa ni spoke za pikipiki kwa sababu ni nene.