Wanaume wa Dar mbona mnasumbuka sana ?! Ngoja nikute silaha nyepesi !! Chukua pilipili yoyote ile kali, ipondeponde kisha changanya na maji iweke kwenye jagi. Ukiingiliwa na jambazi au kibaka, chukua pilipili iliyoko kwenye jagi mmwagie usoni ! Hata kama alikuwa kashika bunduki lazima aitupe !! Pale atabaki anafikicha macho na hapo utamkamata kirahisi kisha utamfanya chochote utakacho. Nimekamata wawili kwa mtindo huo!!