Kumbe Talib Al-Abdulmohsen alikuwa ni mhalifu anaetakiwa Saudi Arabia, ila Ujerumani ilimng'ang'ania kumpa hifadhi. Sasa leo amewafanyia kufuru

Kumbe Talib Al-Abdulmohsen alikuwa ni mhalifu anaetakiwa Saudi Arabia, ila Ujerumani ilimng'ang'ania kumpa hifadhi. Sasa leo amewafanyia kufuru

Leo nilikuwa natazama habari inayohusu ujerumani uchumi wake kuwa katika hali mbaya, na mtu anayelaumiwa kuwa ndo chanzo cha yote ni mstaafu Angela Markel, na kati ya vitu anavyolaumiwa ni kuruhusu wakimbizi wengi kuingia ujerumani kutoka middle east. Wakimbizi hawa wamepewa kazi na mengi na wanazaana kuliko wajerumani.
Yes Angela Merkel kama alibi wakomunisti wengine ndiyo hamlets Shia zote hizi za Waislam huko Ulaya. Huko UK kuna wakomunisti wengine wa Labour wakiongozwa na waziri Mkuu Keir Starmer na lile jitu jeusi David Lammy na wenyewe wanawakumbatia Waislam

View: https://x.com/amjadt25/status/1870410407602540915
 
Hiyo ni tweet ya Taleb akishabikia Hamas
IMG_4336.jpeg
 
Wakristu wa Tanzania mnaona wivu waarabu wakipewa uraia huko west


Hali ya kuwa nyinyi wakristu weusi mnabaguliwa 😃😃😃😃😃
 
Yes huu ndiyo ukweli na media hazitaki kuandika kuhusu hili huyu jamaa ni anti0muslim na shabiki mkubwa wa Israel ndiyo maana kwa kiasi kikubwa hata media imezichukua muda kusema kuwa tukio lile ni la kigaidi.
Taqqya ya Allah na wafuasi wa Mood
 
cristian mwenzenu yeye kwa chuki zake akaona awavamia Wajerman wakiwa kwenye pilikapilika za manunuz ya xmas ili kuchochea chuki kwa Waislam wa Ujerman. Lkn imebainika uyo jamaaa sio Muislam na anakesi kwao uko alipokimbia anamikesi kibao
Yaani unataka kusema Mkristo amejitoa muhanga?

Ungetufahamisha alipokuwa ana-push button ya bomb alihanikiza “Jesus Akbar” ama vipi?
 
Wasiruhusiwee kabisaa kuingia hioo ndioo soln
 
Dawa n kutoruhusu waislamu kuingia ulaya simple
 
Wale wanatakiwa wawekewe sheria kali wakifika nchi za ulaya waachane na itikadi za dini walizo nazo na kufuata dini za wenyeji. Inakuwaje wasaidiwe kupewa hifadhi halafu wanakosa fadhila? Wawe wanakimbilia kwenye nchi za dini yao wasipeleke ushenzi wao kwenye mataifa yaliyostaarabika kwa kuwa na amani
Wanatakiwa kutopokewa kabisa.Waende Urusi au China.
 
Back
Top Bottom