FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Ni kweli mkuu, kuna viwanda kadhaa hapa nchini lakini vichache. Mfano kuna kiwanda cha kutengeneza Pipe za chuma za maji. Pia Dad kuna kiwanda cha kutengeza midori ya magari ya watoto kuchezea
Ubora upoje?,maana wadosi kwa magumashi hawajambo!..
Nasikia ni durable sana..!