Kumbe Tanzania tunazalisha nyaya za umeme

Kumbe Tanzania tunazalisha nyaya za umeme

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Nilienda kutafuta hivi vifaa, kumbe tunatengeneza wenyewe kabisa.
 
Attachments

  • IMG_20150623_120438.jpg
    IMG_20150623_120438.jpg
    186.9 KB · Views: 1,018
  • IMG_20150623_120521.jpg
    IMG_20150623_120521.jpg
    199.6 KB · Views: 823
Nadhani IPP nao wanaviwanda vya kutengeneza hizi mambo
 
Nadhani utapata East Africa Cables (former Tanzania Cables) vingunguti.
 
Ni kweli mkuu, kuna viwanda kadhaa hapa nchini lakini vichache. Mfano kuna kiwanda cha kutengeneza Pipe za chuma za maji. Pia Dad kuna kiwanda cha kutengeza midori ya magari ya watoto kuchezea
 
Ni kweli mkuu, kuna viwanda kadhaa hapa nchini lakini vichache. Mfano kuna kiwanda cha kutengeneza Pipe za chuma za maji. Pia Dad kuna kiwanda cha kutengeza midori ya magari ya watoto kuchezea

Wacha bwana..!, naomba link zao za mtandao.., niwaunge mkono kwenye hatua ijayo ya ujenzi..
 
Hivyo viwanda vinamilikikiwa na Wahindi ! afu wanauza ndani tu, no exporting, in the world are just dummies.
 
Back
Top Bottom