Kumbe tatizo kubwa la waafrika weusi kubaguliwa Tunisia ni kasi ya kuzaa na wanawake wao

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Uhusiano kati ya wanaume weusi na wanawake wa Tunisia kufikia hadi kuzaa imeshika kasi hadi kuwashtua.

Mahusiano kama hayo hayakuwepo zamani. Kwa miaka ya karibuni hali imekuwa tofauti na kuleta wivu na chuki.

Wahamiaji kutoka sub Saharan wako elfu 21 moja tu kati ya idadi ya watunisia million 12.

Chanzo kikubwa cha hizi chuki ni moto mkali nigger tunawapelekea tu hamna jingine.

Shame be upon them.
 
Hayo masuala ya ubaguzi siyaelewei, Lakini ni kweli kabisa wanawake wa Tunisia wana shobo sana kwa Black Men, Nimeyashuhudia mara nyingi hayo mazingira.

Na kubwa zaidi ni kuwa mademu wao Ni pisi Kali Ajabu .
 
Ndo maana rais wao alisema wanataka kuigeuza nchi wa watu weusi
 
Wanajiita wapo kwenye dini ya haki. Ingekuwa hivyo nchi za kiarabu zingekuwa salama sana kuishi.
Dini ni utapeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…