Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 7,656
- 3,785
Kabisa, baada kuondoka kile kizazi kilichokuwa active kipindi cha Kikwete nikawa na wasi wasi ila nina imaniGen Z wa 2010 kuendelea ndio watakomboa nchi kutoka kwa majangili na vibaka wa CCM maana kaaelimu kanawafikia na maisha yalivyokuwa magumu milio lazima iwatoke sie kaka zao wa 1990s kazi imetushinda ila nitawapa full support
ni kule kwenye vichekesho vingiTiktok ndio wapi tena ?
Watu mna siri sana !
TikTok ni jukwaa lingine kabsa, Marekani analimezea mate.ni kule kwenye vichekesho vingi
Wataifungia nayo,vitu vingine muwe mnayamaza tu,umbe wa nini.wamenishangaza, sikutegemea, nilijua content zao ni za SOFT life na udaku pekee, wamenifurahisha.
Kumbe vijana mnapenda HAKI, kumbe vijana unapenda DEMOKRASIA, basi mmetisha.
Hakuna ubaya kuwa na mizuka na mambo mengine, ila kupotezea kabisa mambo ya nchi na maisha yako ni upumbavu zaidi na hauhitaji kutetewa.
Mmenifurahisha
Mods poleni kwa likizo.
Uzi tayari.
Ushauri mzuri, tutazingatiaWataifungia nayo,vitu vingine muwe mnayamaza tu,umbe wa nini.