Tetesi: Kumbe TRA bado wanamfuatilia Askofu Kakobe

Kuambiwa KUTUBU imekuwa kosa? Yeye atubu tu, hakuna namna.
 
Kitu kidogo cha kutumia busara matokeo yake wanatumia misuli
 
Wakishakuwa na hela hawa manabii wanasshau kazi zao za kuhubiri injili wanjiingiza kwenye siasa...
 
Akome koropoka sasa yatagundulika na mengine ambayo jamii ilikuwa haijui kuhusu kazi zake
 
Ndio uwe unanyoosha maelezo usidhani humu vilaza kama mnaoambiwa kutubu mnapiga chenga bhana.... kwani vipppp...... si mtubu tu bhana.....
Kutubu mkuu halina mmoja na wote kwa imani zetu tunahitajika kufanya ivyo, wewe tayari umeshatubu?
 
Nani? Mkuu.
 
Akome koropoka sasa yatagundulika na mengine ambayo jamii ilikuwa haijui kuhusu kazi zake
Unafikiri Kakobe ana kona kona kama zako au Magu..... hakuna cha kona kona ni kunyooka tu.... kwanza ndio wanampa ujasiri zaidi wakukemea maovu ya huyo mtukufu wenu..... akatubu tu Magu.... unadhani maisha yake Kakobe ni kama ya hao unaowafaaham....
 
Wanasumbuliwa na masifa kwa Mzee Mkulu.

Ningekuwa Rais Ningewatumbua wote wanaoshughulika na Askofu Kakobe, Kwani walikuwa wapi mpaka sasa waanze kukurupuka.

Kwa maana nyingine walikuwa hawajui kazi yao.

Leo Hii Kadinali Pengo akiikosoa serikali mtakurupuka tena kumdai hizo bank statments?

Zaidi ya Yote, Mimi sio Muumini wa Ask Kakobe.


LAKINI HII INAONYESHA UDHEHEBU ULIVYO TAMALAKI KWA VIONGOZI WA NCHI NA TAASISI ZAKE.

Mbona Niyemugizi hamkumtaka hizi taarifa za bank?


Shime Rais Wangu chonde chonde, usijiingize kwenye migogoro na viongozi wa dini. Utaharibikiwa na utaona Urais Mchungu kama shubiri.
 
Kwa mfano wakamchunguza then wakakuta hana hizo fedha what next? Yaani kama ilivyokuwa kwa Dk Shika.
 

Unaona sifa watu kufunga maduka kisa wameona TRA utumwa mbaya sana tena ule wakujiona uko free
 
Hii nchii uktakaa kukaa salamaa usiambiwee mzimbabwee.. Au usifatiliwee kuitwaa fisadii AAU mlarushwaa kmaa nyaranduu chaguaa mojaaa. Bakii njiaa kuu fitiem au kaa kmyaa sifiaa chatyoo roryaaa. Utafrahiaaa hii nchii
 
waache waendelee kumfuatilia ili wapewe za uso vizuri. hawamjui nafikiri. the more they play with him the more they disclose their weaknesses
NYUMBU WA KANISA LA KAKOBE WE!!
 
Hivi wanawake watasema nini kama mwanaume unazungumza maneno ya kwenye kitchen party
 
Mdomo uliponza kichwa,acha statement zionekane alafu atuambie kama alilipa kodi.
 
Mtu yoyote au kampuni yoyote inaweza kufanyiwa special Audit na TRA mda wowote zikipatikana taarifa kwamba huenda halipi kodi kikamilifu. Kwa kujisemea kwamba ana hela kuliko serikali, ni lazima TRA wachunguze maana ni kazi yao, hawawezi kuzikalia tu hizo taarifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…