Kumbe Traore ni dikteta mzuri! Burkina Faso yaanza kubadilika sana chini yake!

Kumbe Traore ni dikteta mzuri! Burkina Faso yaanza kubadilika sana chini yake!

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Nilimtukana sana Traore nikifiriki ni dikteta uchwara kama madikteta wengine wa Africa kumbe ni dictator mzuri "benevolent dictator"

Jana ameleta habari kubwa sana duniani baada ya kuzindua kiwanda kikubwa kuliko vyote Africa cha kuchakata dhahabu ghafi kuifanya bidhaa kamili kabisa.
Namuomba msamaha Captain Traore, kuanzia sasa nitakuwa shabiki wake. Lakini pia apunguze mbwembwe za Kibashite

Screenshot_20260929-125114~2.jpg

Screenshot_20260929-125201~2.jpg
 
Tukitoa udikteta wake,mi napenda anavyojenga mji mkuu wao,yaani wanajenga barabara pana haswaa kwa ajili ya magari na sehemu nyingine maalum kwa ajili ya pikipiki maana kwao kumiliki pikipiki ni utamaduni, pia wanajenga sehemu za kutosha za kupumzikia watu kitu ambacho hapa kwetu tumeshindwa. Hata akiondoka leo,legacy ya jinsi alivyoibadilisha Ouagadougou itabaki.
 
Kabla ya Traore uzalishaji wa dhahabu ulikuwa unaripotiwa tani 64 kwa mwaka. Baada ya kuingia, miaka mitatu umekuwa tani 94.
 
Mimi alinikosha alivowaambiwa waarabu hatuhitaji tena misikiti
Yafaa tufaham Dini sio za kuziendekeza tutafute ustawi wa kweli


Tuonyesheni na mgalatia kiongozi wa africa akiijenga nchi yake zaidi kuwa kikaragosi cha wazungu?

Alimtimua huyu mpumbavu wa kigalatia aliokuwa anauza nchi
1790681807913.png


Na Guinea vilevile

1790681951749.png
 
Nilimtukana sana Traore nikifiriki ni dikteta uchwara kama madikteta wengine wa Africa kumbe ni dictator mzuri "benevolent dictator"

Jana ameleta habari kubwa sana duniani baada ya kuzindua kiwanda kikubwa kuliko vyote Africa cha kuchakata dhahabu ghafi kuifanya bidhaa kamili kabisa.
Namuomba msamaha Captain Traore, kuanzia sasa nitakuwa shabiki wake. Lakini pia apunguze mbwembwe za Kibashite

View attachment 3680301
View attachment 3680302
KIONGOZI YOYOTE MZURI NI LAZIMA AWE NA SIFA YA UDICTETA ILA ULE WA KIZALENDO NA AWE NA AKILI KUBWA SIYO ELIMU KUBWA ...HUYO JAMAA ALIVYO KATAA UPUMBAVU WA KUJENGEWA MISIKITI NA SAUDIARABIA TU ILITOSHA KUTHIBITISHA KUWA NI MTU MWENYE AKILI TIMAMU SIYO WALE WAPUMBAVU WA MUDI BOY WANAO ABUDU MUARABU NA KIARABU
 
Back
Top Bottom