Mimi alinikosha alivowaambiwa waarabu hatuhitaji tena misikiti
Yafaa tufaham Dini sio za kuziendekeza tutafute ustawi wa kweli
Tuonyesheni na mgalatia kiongozi wa africa akiijenga nchi yake zaidi kuwa kikaragosi cha wazungu?
Alimtimua huyu mpumbavu wa kigalatia aliokuwa anauza nchi
View attachment 3680341
Na Guinea vilevile
View attachment 3680345
Mimi sjaongelea wagalatia nmeongelea fellow muslimTuonyesheni na mgalatia kiongozi wa africa akiijenga nchi yake zaidi kuwa kikaragosi cha wazungu?
Alimtimua huyu mpumbavu wa kigalatia aliokuwa anauza nchi
View attachment 3680341
Na Guinea vilevile
View attachment 3680345
KIONGOZI YOYOTE MZURI NI LAZIMA AWE NA SIFA YA UDICTETA ILA ULE WA KIZALENDO NA AWE NA AKILI KUBWA SIYO ELIMU KUBWA ...HUYO JAMAA ALIVYO KATAA UPUMBAVU WA KUJENGEWA MISIKITI NA SAUDIARABIA TU ILITOSHA KUTHIBITISHA KUWA NI MTU MWENYE AKILI TIMAMU SIYO WALE WAPUMBAVU WA MUDI BOY WANAO ABUDU MUARABU NA KIARABUNilimtukana sana Traore nikifiriki ni dikteta uchwara kama madikteta wengine wa Africa kumbe ni dictator mzuri "benevolent dictator"
Jana ameleta habari kubwa sana duniani baada ya kuzindua kiwanda kikubwa kuliko vyote Africa cha kuchakata dhahabu ghafi kuifanya bidhaa kamili kabisa.
Namuomba msamaha Captain Traore, kuanzia sasa nitakuwa shabiki wake. Lakini pia apunguze mbwembwe za Kibashite
View attachment 3680301
View attachment 3680302