Kumbe tulimsifu Hayati Magufuli kwa kubana matumizi huku Serikali ikiwa na matumizi ya ovyo hivi?

Bado unahangaika kukata Jiwe kwa panga, kweli ndezi hawawezi kuisha.Magu hawakujua kuchafuka kirahisirahisi Tena na watu kama wewe
 
Hakuna aliyemkamilifu ila alikuwa anajitahidi kwa kadri alivoweza kuhakikisha hili japo hata afanyaje asingeweza kumaliza,,

Kwa nafasi yake alifanya na alifanikisha kwa kiasi chake.

Zamu yamwingine sasa acha atekeleze anavoona na kuweza acha kubeza jitihada za mwingine.
 
Magufuli alikuwa na ushetani mwingi sana
 
Matumizi mabaya yaliasisiwa na Jakaya, alilipa mishahala watu wasiokuwepo, alisafiri ughaibuni na msafara mkubwa usio na tija nk

Niambie Magufuri alipoanza kuzuia malipo hewa pia kutosafiri kwenda ughaibuni hakuokoa hela?

Mwizi alikuwepo na bado tunaye hadi leo akishibisha wezi wenzie huyo ndiye mstaafu aliyegoma kustaafu ili aendelee kupiga hela zetu.

JPM kalala mwacheni huyo mwamba alishamaliza kazi yake
 
Ni takwa la kisheria Hilo mjomba hata hawa hawataweza gusa hiyo na bado wataendelea kuwalipa hao maboss Hadi Sheria ibadilishwe
 
Sasa wewe point yako ni ipi, huyo katukana sababu nimemkosoa Magufuli, unadhani atakuwa Chadema au CUF?
Inahitaji akuonyeshe kadi?

Wangapi wanasimama na CCM lakini wanamtusi Magufuli? Hapo ndio unapokwama.
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, japo alikuwa na mapungukwe kwenye mitazamo ya wengine ila alifanya mambo mengi mazuri sana, enzi hizo kujenga lami ni kitu cha kawaida ila sahv imekuwa ni ngumu kama zamani
 
Wewe ni mpuuzi, bisha
 
Acha kujikosha,kwa hiyo wewe unabishana na Serikali aunhujaelewa?

Mfano unamtoa mtu kama demotion Kutoka kuwa mkubwa wa Taasisi fulani unampeleka kwa RAS harafu anaenda na salary aliyotoka nayo kule kwenye Taasisi,hii Sio sawa..
Basic salary huwa haishuki kamwe. Allowance tu ndo huondolewa
 
Kwa nini inakuwa hivyo??
Yaani huo ni mfano tu, unakuta mnaona wizara chache lakini makatibu wakuu wanalimbikizana kwenye payroll sababu wakitumbuliwa bado wanalipwa kama makatibu wakuu
 
Alikosa maarifa haya au hakushauriwa?
Mwigulu kasema hilo lonafanywa kwa sababu lipo kisheria na Samia itabidi wabadili sheria kwanza....So kipindi cha Magufuli walikuwa bado wanalipwa sababu sheria hazikubadilishwa
 
Umeandika ushuzi
 
Tutajua mengi tuombe uzima.
 
Acha kujikosha,kwa hiyo wewe unabishana na Serikali aunhujaelewa?

Mfano unamtoa mtu kama demotion Kutoka kuwa mkubwa wa Taasisi fulani unampeleka kwa RAS harafu anaenda na salary aliyotoka nayo kule kwenye Taasisi,hii Sio sawa..

Sipo kubishana, ukielewa wewe inatosha.
 
Mashangingi na safari za ndani vinakula sehemu kubwa ya bajeti.

Malupulupu ya viongozi wa juu na Wabunge yapunguzwe. Wabunge hawapaswi kulipa seating allowance kwa kufanya kazi zao. In fact seating allowance ngazi zote zifutwe unless kwa yule tu ambaye siyo sehemu ya kazi yake. cc Mwigulu Nchemba
 
Akifanikiwa hili la kubana matumizi serikalini mie kwamgu itakuwa ni kama A COFFIN FROM CHATO limeletwa upya kupigia msumari wa mwisho
 
Waziri wa kubana matumizi ndiye huyu aliyeingia Bungeni kwa msafara kama mkuu wa nchi?Kubana matumizi ya serikali,chama na taasisi za umma ni sawa na ndoto ya kuwahadaa Wananchi wenye nchi.
Chini ya CCM nchi hii imekwama na siyo rahisi kujikwamua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…