GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Na mpaka sasa Jezi zimedoda katika Maduka mengi na kuna uwezekano zikashushwa Bei hadi Kuuzwa Shilingi Elfu Tatu ( Tsh 3,000/= ) ili tupate Pesa za Kumalizia Deni la Kocha Mbelgiji ili FIFA wasitufungie kabisa Kusajili na kwa upande wa Wachezaji waliobakia ( ila tunawahitaji ) na wale Wapya tunaowahitaji hakuna namna Tutawakopa tu huku tukiwapigia Magoti na Kuwalamba miguu yao.
Yaani Mashabiki wako hawana uhakika wa Usajili wako, uko Kimya katika Kusajili Vyuma kama Wenzako na hawaelewi kama Mtikisa Manyonyo wao kila akifunga Goli atabakia au ataondoka Wewe ulivyo na Akili Finyu unawatangulizia Mijezi yako mibovu ( nyingine zina Picha za Game katika Simu ) halafu unategemea Wazinunue kwa Fujo.
Subirini Fundi wa Kubuni na Kutengeneza Jezi za maana na za uhakika atoe Jezi za Timu Bora #7 Barani Afrika Wiki hii ili mjifunze na mwaka ujao mjitahidi mje na nzuri.
Kwasababu Hayati Robert Nesta Marley alikuwa na Rasta halafu ni Genius basi mkadhani kila mwenye Rasta na atokaye Mkoani Kilimanjaro tu ana Akili.
ANGALIZO
Ukijijua tu kabisa kuwa humpendi / hunipendi GENTAMIYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" hapa JamiiForums na unamchukia hata kutamani Afe na huvutiwi na Taarifa zake pamoja na Uwasilishaji wake kutokana na Upumbavu, Wivu na Uwendawazimu wako Uliokutukuka njia rahisi ni Kuachana nae ( nami ) na uendelee Kuwasoma na Kuwafuatilia hao unaowaona ni Bora Kwako na Unawakubali zaidi sawa?
Nimemaliza.