Kumbe tuna wanasoka wengi Ulaya

SaaMbovu

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2013
Posts
6,027
Reaction score
5,344
Nilikuwa nafuatilia league kuu ya Austria Bundesliga baada ya kufungua taarifa za hii timu kwenye picha nikakutana na mchezaji anaitwa Lema nikashutuka mbona jina la watanzania hili kufungua zaidi nakuta ni mtanzania kweli. Jamaa timu yake sihaba kwenye league ya Austria na dogo bado ana miaka 20 tu mpaka sasa amieshacheza match 5 za league msimu huu.
Etiene Ndayiragije mfuatilie huyu.
Anachezea timu ya Sturm Graz
 
Mbona inaonekana ni raia wa Austria alishachezea under 20 ya Austria , Yaani alishautupa uraia wa madongo kuinama
 
Inaonekana kaamua kupambana hukohuko
 
Hamna shida, ukicheza under 20 ya Austria bado anaweza cheza bongo, mfano mzuri sadio Berahino alicheza under U20 ya uingereza ila asahv ya wkubwa anacheza Burundi
Huyo ana passport ya Austria, alishaitupa ya TZ hivyo haiwezekani.Hatuna Dual citizenship
 
Hamna shida, ukicheza under 20 ya Austria bado anaweza cheza bongo, mfano mzuri sadio Berahino alicheza under U20 ya uingereza ila asahv ya wkubwa anacheza Burundi
Tanzania hairuhusu uraia pacha. Huyu si Mtanzania. Ni Mu Austria mwenye asili ya Tanzania.
 
Hamna shida, ukicheza under 20 ya Austria bado anaweza cheza bongo, mfano mzuri sadio Berahino alicheza under U20 ya uingereza ila asahv ya wkubwa anacheza Burundi
Ndivyo ninavyo elewa
 
Huyu ni mtoto wa mwana JF mwenzetu miss chagga
 
Basi tu nilitaka kujua lolote kuhusu league hiyo. Sasa ndio nikakutana na jina la Lema nikashtuka mbona jina kama la m tz. Kuingia ndio nikakutana na hayo.
 
Lakini amezaliwa Tanzania tena Itigi.
Kwani Kiranga kasemaje?
Uraia sikuhizi sio wa damu ni karatasi na sahihi.
Mimi mwenyewe Niko namtumbo huku, ila mwakani naweza kuwa raia kamili wa Lebanon au Afghanistan.
 
Basi tu nilitaka kujua lolote kuhusu league hiyo. Sasa ndio nikakutana na jina la Lema nikashtuka mbona jina kama la m tz. Kuingia ndio nikakutana na hayo.
Ila yeye anatamani kuja kucheza huku.Alishawahi kukutana na Samatta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…