SaaMbovu
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 6,027
- 5,344
Nilikuwa nafuatilia league kuu ya Austria Bundesliga baada ya kufungua taarifa za hii timu kwenye picha nikakutana na mchezaji anaitwa Lema nikashutuka mbona jina la watanzania hili kufungua zaidi nakuta ni mtanzania kweli. Jamaa timu yake sihaba kwenye league ya Austria na dogo bado ana miaka 20 tu mpaka sasa amieshacheza match 5 za league msimu huu.
Etiene Ndayiragije mfuatilie huyu.
Anachezea timu ya Sturm Graz
Etiene Ndayiragije mfuatilie huyu.
Anachezea timu ya Sturm Graz